FIQH

Picha ya Sura zinazosomwa katika Swala ya Dhuha
SURA ZINAZOSOMWA KATIKA SWALA YA DHUHA

Swala ya Dhuha ni swala ya sunna inayosaliwa wakati wa asubuhi baada ya jua kuchomoza na kupanda angalau kiasi cha mkuki (takribani dakika 15 baada ya jua kuchomoza) mpaka kabla ya adhuhuri. Ingawa hakuna sura maalum zilizowekwa kisheria, Mtume ﷺ alisoma baadhi ya sura zenye maana ya kuhimiza kheri na shukrani.

Picha ya Hutuba ya Ndoa - Khutbat nikah
HUTUBA YA NDOA - KHUTBAT NIKAH

Hii ni hutuba ya ndoa kwa ufupi, Imekusanya mambo ya msingi yanayohitajika katika hutuba ya ndoa

Picha ya Maana ya Twahara na umuhimu wake katika uislamu
MAANA YA TWAHARA NA UMUHIMU WAKE KATIKA UISLAMU

Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya Twahara Kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu

Picha ya Jinsi ya kutwaharisha Aina mbalimbali za Najisi katika uislamu
JINSI YA KUTWAHARISHA AINA MBALIMBALI ZA NAJISI KATIKA UISLAMU

Katika somo hili utakwedna kujifunza jinsi ya kutwaharisha aina mbalimbali za najisi kwa mujibu wa mafundiso ya Mtume Muhammad (s.a.w)

Picha ya Aina za twahara na aina za najisi
AINA ZA TWAHARA NA AINA ZA NAJISI

Katika post hii utakwenda kuzijuwa aina za twahara katika uislamu. Utaviona vigawanyo vya twahara kulingana na maulamaa wa Fiqh

Picha ya Nini maana ya twahara katika uislamu
NINI MAANA YA TWAHARA KATIKA UISLAMU

Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya twahara katika uislamu. Pia utakwenda kujifunza hukumu za twahara, aina za twahara na mambo mengineyo

Picha ya Maana ya uadilifu na usawa na tofauti zao
MAANA YA UADILIFU NA USAWA NA TOFAUTI ZAO

Posti hii itakwenda kukufunza utofauti kati ya uadilifu na usawa

Picha ya Mafunzo ya swala
MAFUNZO YA SWALA

Jifunze namna ya kuswali, zijuwe aina za swala na ujifunze masharti ya swala, kwa nini swala hazijibiwi? nini kifanyike?

Picha ya Kusimamisha Swala na kuamrisha mema
KUSIMAMISHA SWALA NA KUAMRISHA MEMA

Swala iliyosimamishwa vilivyo ndiyo nyenzo kuu ya kumtakasa Muislamu na kumpa sifa zinazomuwezesha kustahiki kufanya kazi takatifu ya kusimamisha Uislamu katika jamii.

Picha ya Aina za talaka, sharti zake na taratibu za kutaliki katika uislamu
AINA ZA TALAKA, SHARTI ZAKE NA TARATIBU ZA KUTALIKI KATIKA UISLAMU

Maana: ni utaratibu wa kuvunja mkataba wa ndoa baina ya mume na mke mbele ya mashahidi wawili kwa kuzingatia sheria ya Kiislamu.

Picha ya Taasisi za Kifedha Katika Mfumo wa Uchumi wa Kiislamu
TAASISI ZA KIFEDHA KATIKA MFUMO WA UCHUMI WA KIISLAMU

- Ni taasisi za kifedha zinazohusika na kuhifadhi akiba na mali za watu zenye thamani kubwa kama dhahabu, n.

Picha ya Ndoa ya mke zaidi ya mmoja katika uislamu na taratibu zake, faida zake na namna ya kuitekeleza
NDOA YA MKE ZAIDI YA MMOJA KATIKA UISLAMU NA TARATIBU ZAKE, FAIDA ZAKE NA NAMNA YA KUITEKELEZA

- Je, Ukeweza, (ndoa ya mke zaidi ya mmoja) humdhalilisha mwanamke?

Picha ya maana ya Eda na aina zake
MAANA YA EDA NA AINA ZAKE

Ni kipindi au muda wa kungojea mwanamke aliyepewa talaka (aliyeachwa) au kufiwa na mumewe kabla ya kuolewa na mume mwingine.

Picha ya  Hija ya Kuaga na Kutawafu kwa Mtume (s.a.w)
HIJA YA KUAGA NA KUTAWAFU KWA MTUME (S.A.W)

Hija ya Kuaga na Kutawafu kwa Mtume (s.

Picha ya JIFUNZE FIQH
JIFUNZE FIQH

Fahamu darsa mbalimbali za fiqh kama swala, twahara, zaka pamoja na funga. Zijuwe sharti za swala, funga na zaka.

Picha ya MALI ZISIZORUHUSIWA KUTOLEWA ZAKA
MALI ZISIZORUHUSIWA KUTOLEWA ZAKA

*Suala la kumilikiwa binaadam (utumwa), japokuwa linaendelea kutajwa kwenye Sharia (katika vitabu), ni suala ambalo haliko.

Picha ya  Riba na Madhara Yake Katika Jamii
RIBA NA MADHARA YAKE KATIKA JAMII

- Riba ni kipato chochote kile cha ziada kutokana na mkopo au mtaji bila kushiriki katika faida au hasara.

Picha ya Zaka ni nini? Nini maana ya zaka katika uislamu
ZAKA NI NINI? NINI MAANA YA ZAKA KATIKA UISLAMU

Zaka, kilugha ni kukua; kubariki na kuzidi kheri.

Picha ya darsa nzuri zenye kuelimisha hasa katika ndoa ya kiislam.
DARSA NZURI ZENYE KUELIMISHA HASA KATIKA NDOA YA KIISLAM.

Assalaam alykum warahmatullah wabarakatuh.

Picha ya  Je kama maiti imekatika baadhi ya viungo je viungo vyake tunafata utaratibu gani katika kumuosha na kumkafini?
JE KAMA MAITI IMEKATIKA BAADHI YA VIUNGO JE VIUNGO VYAKE TUNAFATA UTARATIBU GANI KATIKA KUMUOSHA NA KUMKAFINI?

Assalamu Alaykum Warahmatu-llah Wabarakaatuh Naomba kuuliza: Je kama maiti imekatika baadhi ya viungo je viungo vyake tunafata utaratibu gani katika kumuosha na kumkafini?

Picha ya MARADHI MENGINE 10 YANAYOTOKANA NA MBU ( matende, ngirimaji, homa ya manjano, n.k
MARADHI MENGINE 10 YANAYOTOKANA NA MBU ( MATENDE, NGIRIMAJI, HOMA YA MANJANO, N.K

Tofauti na maradhi yaliyotajwa hapo juu pia tafiti za kisayansi zimethibitisha kuwepo kwa maradhi mengine hatari yanayosambazwa na mbu, kama vile ngirimaji pamoja na matende.

Picha ya  Maana ya Funga ya ramadhani kisheria na Aina za funga
MAANA YA FUNGA YA RAMADHANI KISHERIA NA AINA ZA FUNGA

Amesema mtume (s.a.w) kuwa Allah (s.w) amesema: kila amali ya mwanaadamu ni kwa ajili yake isipokuwa funga.

Picha ya  Maana ya Funga ya ramadhani kisheria na Aina za funga
MAANA YA FUNGA YA RAMADHANI KISHERIA NA AINA ZA FUNGA

Amesema mtume (s.a.w) kuwa Allah (s.w) amesema: kila amali ya mwanaadamu ni kwa ajili yake isipokuwa funga.

Picha ya namna ya kuswali 6
NAMNA YA KUSWALI 6

Lugha ya Swala Lugha ya swala,kuanzia kwenye Takbira ya kuhirimia Swala mpaka kumalizia swala kwa Salaam, ni Kiarabu.

Picha ya Kusimamisha Swala
KUSIMAMISHA SWALA

Kusimamisha Swala.

Picha ya sunnah za swala
SUNNAH ZA SWALA

Sunnah za SwalaSunnah za Swala Vipengele vya sunnah katika swala ni vile ambavyo mwenye kuswali akivitenda husaidia sana kukuza daraja ya swala yake na kuipa nguvu na msukumo mkubwa wa kuiwezesha kufikia lengo lililokusudiwa kwa urahisi zaidi.

Picha ya Masharti ya swala
MASHARTI YA SWALA

Sharti za SwalaSharti za Swala Sharti za swala ni yale mambo ya lazima anayotakiwa Muislamu ayachunge na kuyatekeleza kabla hajaanza kuswali.

Picha ya Umuhimu wa swala
UMUHIMU WA SWALA

Umuhimu wa KusimamishaSwala Kwa mujibu wa Hadith ya Ibn Umar (r.

Picha ya Maana ya swala
MAANA YA SWALA

Maana ya Swala Maana ya Swala kilugha(a) Kilugha Katika lugha ya Kiarabu neno Swalaat lina maana ya ombi au dua.

Picha ya MAMBO YANAYOBATILISHA (HARIBU) SWALA YAKO
MAMBO YANAYOBATILISHA (HARIBU) SWALA YAKO

Lugha ya Swala Lugha ya swala,kuanzia kwenye Takbira ya kuhirimia Swala mpaka kumalizia swala kwa Salaam, ni Kiarabu.

Picha ya NI ZIPI SWALA ZA SUNNAH: (qabliya (kabliya) na baadiya, tahajudi, tarawehe, qiyamu layl, shukr, istikhara)
NI ZIPI SWALA ZA SUNNAH: (QABLIYA (KABLIYA) NA BAADIYA, TAHAJUDI, TARAWEHE, QIYAMU LAYL, SHUKR, ISTIKHARA)

Sunnah za SwalaSunnah za Swala Vipengele vya sunnah katika swala ni vile ambavyo mwenye kuswali akivitenda husaidia sana kukuza daraja ya swala yake na kuipa nguvu na msukumo mkubwa wa kuiwezesha kufikia lengo lililokusudiwa kwa urahisi zaidi.

Picha ya NI ZIPI NGUZO NA SHARTI KUU ZA SWALA ILI IKUBALIWE
NI ZIPI NGUZO NA SHARTI KUU ZA SWALA ILI IKUBALIWE

Sharti za SwalaSharti za Swala Sharti za swala ni yale mambo ya lazima anayotakiwa Muislamu ayachunge na kuyatekeleza kabla hajaanza kuswali.

Picha ya NI LIPI HASA LENGO LA KUFARADHISHWA SWALA ZA FARADHI NA KUWEPO KWA SWALA ZA SUNNAH (SUNA)
NI LIPI HASA LENGO LA KUFARADHISHWA SWALA ZA FARADHI NA KUWEPO KWA SWALA ZA SUNNAH (SUNA)

Lengo la Kusimamisha SwalaBila shaka swala imepewa umuhimu mkubwa kiasi cha kufanywa nguzo kubwa ya Uislamu kutokana na lengo lake.

Picha ya kuletewa ujumbe
KULETEWA UJUMBE

(c)Kuletewa Ujumbe na Malaika kutoka kwa Allah (s.

Picha ya NI KWA NINI TUNASWALI?, NI UPI UMUHIMU WA KUSWALI NA NI ZIPI FADHILA ZA KUSWALI
NI KWA NINI TUNASWALI?, NI UPI UMUHIMU WA KUSWALI NA NI ZIPI FADHILA ZA KUSWALI

Umuhimu wa KusimamishaSwala Kwa mujibu wa Hadith ya Ibn Umar (r.

Picha ya MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA ELIMU
MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA ELIMU

Maana ya elimuElimu ni ujuzi ulioambatanishwa na utendaji.

Picha ya  Jinsi Uislamu Ulivyokomesha Biashara ya Utumwa wakati na baada ya Mtume Muhammad (s.a.w)
JINSI UISLAMU ULIVYOKOMESHA BIASHARA YA UTUMWA WAKATI NA BAADA YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)

- Uislamu ulieneza nadharia kuwa wanaadamu wote ni sawa na wote ni watumwa mbele ya Mwenyezi Mungu (s.

Picha ya  Msimamo wa Uislamu juu ya Utumwa
MSIMAMO WA UISLAMU JUU YA UTUMWA

- Watumwa walikuwa wakikamatwa na kutezwa nguvu bila kujali utu na ubinaadamu wao.

Picha ya benki za kiislamu na njia zake za kuingiza kipato
BENKI ZA KIISLAMU NA NJIA ZAKE ZA KUINGIZA KIPATO

Benki za KiislamuBenki za Kiislamu ambazo hutoa huduma kama benki nyingine zinaendeshwa katika msingi wa biashara na sio ule wa riba.

Picha ya Dhana ya haki na uadilifu katika uislamu
DHANA YA HAKI NA UADILIFU KATIKA UISLAMU

HAKI NA UADILIFU KATIKA UISLAMU.

Picha ya Njia za kudhibiti riba
NJIA ZA KUDHIBITI RIBA

Ufumbuzi wa tatizo la ribaRiba imeenea na kuzoeleka duniani kwa kiasi ambacho watu wengi wanadhani kuwa bila riba hakuna shughuli yoyote ya uchumi inayowezekana.

Picha ya hukumu ya ombaomba katika uchumi wa kiislamu
HUKUMU YA OMBAOMBA KATIKA UCHUMI WA KIISLAMU

Suala la omba-ombaTukiliangalia suala la omba-omba kwa upana kidogo, ambalo hivi sasa linaongelewa katika vikao mbalimbali vya kitaifa na kimataifa, tutaona kuwa ni Uislamu pekee unaotoa namna bora ya kulishughulikia suala hili.

Picha ya  MTAZAMO NA HUKUMU YA KUPANGA UZAZI WA MPANGO KWENYE UISLAMU
MTAZAMO NA HUKUMU YA KUPANGA UZAZI WA MPANGO KWENYE UISLAMU

Atika uislamu swala la kupanga uzazi linaruhusiwa endapo kutakuwa na sababu maalumu za kisheria.

Picha ya Adhabu ya mzinifu katika jamii ya kiislamu
ADHABU YA MZINIFU KATIKA JAMII YA KIISLAMU

(iii) Adhabu ya UzinifuKatika Sheria ya Kiislamu mtu haadhibiwi mpaka atende kwa uwazi matendo yenye kuvuruga utaratibu na amani ya jamii.

Picha ya Njia za kuzuia na kupunguza zinaa katika jamii
NJIA ZA KUZUIA NA KUPUNGUZA ZINAA KATIKA JAMII

(ii) Hatua za Kuzuia Uzinzi JamiiUislamu pamoja na kutoa mafunzo ya maadii yanayomuwezesha mtu binafsi ajiepushe kwa hiari yake na kitendo kibaya cha zinaa, umechukua hatua mbali mbali ambazo huifanya zinaa isiwe kitendo chepesi katika jamii.

Picha ya Hifadhi ya Mwanamke na Maadili ya Jamii
HIFADHI YA MWANAMKE NA MAADILI YA JAMII

(c) Hifadhi ya Mwanamke na Maadili ya JamiiKimaumbile wanaadam kama walivyo wanyama, wamejaaliwa kuwa na mvuto wa kimapenzi kati ya mume na mke ili kuwawezesha kutekeleza wajibu mkubwa wa kuzaana na kuendeleza kizazi.

Picha ya Hukumu na sherei zinazohusu ajira na kazi katika uislamu
HUKUMU NA SHEREI ZINAZOHUSU AJIRA NA KAZI KATIKA UISLAMU

Wajibu wa KufanyakaziUislamu siyo tu unawahimiza watu kufanya kazi na kutokuwa wavivu bali kufanya kazi ni Ibada.

Picha ya Milki ya raslimali katika uislamu
MILKI YA RASLIMALI KATIKA UISLAMU

Milki ya RasilimaliIli kujipatia maendeleo ya kiuchumi katika zama zote mwanaadamu anahitaji rasilimali za kumwezesha kufikia azma hiyo.

Picha ya  NAMNA YA KUCHINJA KATIKA UISLAMU
NAMNA YA KUCHINJA KATIKA UISLAMU

عَنْ أَبِي يَعْلَى شَدَّادِ بْنِ أَوْسٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ عَنْ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم قَالَ: "إنَّ اللَّهَ كَتَبَ الْإِح...

Picha ya Tofauti ya uchumi wa kiislamu na usio wa kiisalmu
TOFAUTI YA UCHUMI WA KIISLAMU NA USIO WA KIISALMU

Tofauti kati ya mfumo wa uchumi wa Kiislamu na ile ya Kitwaghuti (i) Dhana ya mafanikioKatika mtazamo wa uchumi wa Kiislamu mafanikio yanatazamwa kwa kuzingatia hatima ya ama mtu kupata radhi za Mwenyezi Mungu au kubeba laana ya Mwenyezi Mungu.

Picha ya haki za mwanamke za kisiasa katika uislamu
HAKI ZA MWANAMKE ZA KISIASA KATIKA UISLAMU

Haki ya Kushiriki Katika Siasa.

Picha ya Haki za kiuchumi za mwanamke katika uislamu
HAKI ZA KIUCHUMI ZA MWANAMKE KATIKA UISLAMU

Haki za UchumiKuwa imara kiuchumi ni sababu mojawapo kubwa ya kumpa mtu hadhi katika jamii.

Picha ya HUKUMU YA KUUWA MTU (KUMWAGA DAMU) KWENYE UISLAMU
HUKUMU YA KUUWA MTU (KUMWAGA DAMU) KWENYE UISLAMU

عَنْ ابْنِ مَسْعُودٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم "لَا يَحِلُّ دَمُ امْرِئٍ مُسْلِمٍ [ يشهد أن ل?...

Picha ya maana ya uchumi kiislamu
MAANA YA UCHUMI KIISLAMU

Maana ya UchumiMfumo wa maisha wa Kiislamu humuelekeza binaadamu kujenga na kudumisha uhusiano wake na Al-lah (s.

Picha ya TOFAUTI KATI YA MAKATOZO NA MAAMRISHO KATIKA SUNNAH
TOFAUTI KATI YA MAKATOZO NA MAAMRISHO KATIKA SUNNAH

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ عَبْدِ الرَّحْمَنِ بْنِ صَخْرٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: سَمِعْت رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم يَقُولُ: "م...

Picha ya Hadhi na Haki za mwanamke katika jamii za Kirumi hapo zamani
HADHI NA HAKI ZA MWANAMKE KATIKA JAMII ZA KIRUMI HAPO ZAMANI

(b) WarumiJamii ya Warumi nayo ni miongoni mwa jamii zinazohesabika kuwa zilianza kustaarabika mapema katika historia ya ulimwengu.

Picha ya Hadhi na haki za mwanamke katika jamii za Kigiriki hapo zamani
HADHI NA HAKI ZA MWANAMKE KATIKA JAMII ZA KIGIRIKI HAPO ZAMANI

(a) UgirikiTunajifunza katika historia ya Ulimwengu kuwa jamii ya Wagiriki ilikuwa miongoni mwa jamii zilizoanza kustarabika.

Picha ya  Ubainifu kati ya halali na Haramu na kujiepusha na mambo yanayo tatiza
UBAINIFU KATI YA HALALI NA HARAMU NA KUJIEPUSHA NA MAMBO YANAYO TATIZA

عَنْ أَبِي عَبْدِ اللَّهِ النُّعْمَانِ بْنِ بَشِيرٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا، قَالَ: سَمِعْت رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم يَقُ?...

Picha ya Hadhi na Haki za Mwanamke katika jamii mbalimbali hapo zamani
HADHI NA HAKI ZA MWANAMKE KATIKA JAMII MBALIMBALI HAPO ZAMANI

Utangulizi:Uislamu unamuelekeza mwanaadamu namna nzuri ya kuendesha maisha yake katika kila kipengele cha maisha akiwa binafsi, katika familia na katika jamii.

Picha ya Mifano na namna ya kurithisha
MIFANO NA NAMNA YA KURITHISHA

Ugawaji wa mirathi-Mume ana nusu (1/2) = 1/2 -Mama ana sudusi.

Picha ya Mafungu ya mirathi katika uislamu
MAFUNGU YA MIRATHI KATIKA UISLAMU

Mafungu ya urithi yaliyotajwa katika haya sita yafutayo:1.

Picha ya Hali ya kuzuiliana kurithi katika uislamu
HALI YA KUZUILIANA KURITHI KATIKA UISLAMU

KuzuilianaTumeona kuwa wanaume wenye kurithi ni 15 na wanawake wanaorithi ni 10.

Picha ya Dhana ya mirathi na kurithi katika zama za ujahiliya
DHANA YA MIRATHI NA KURITHI KATIKA ZAMA ZA UJAHILIYA

Mirathi katika jamii za kijahiliKatika jamii nyingi za kijahili kama vile jamii ya Waarabu kabla ya Mtume Muhammad (s.

Picha ya Maana ya Mirathi na kurithi katika uislamu
MAANA YA MIRATHI NA KURITHI KATIKA UISLAMU

Maana ya MirathiMirathi katika Uislamu ni kanuni na taratibu alizoziweka Allah (Sw) katika kuwagawawia na kuwarithisha familia na jamaa, mali aliyoiacha marehemu.

Picha ya Je inafaha kuingizwa eda na kutolewa?
JE INAFAHA KUINGIZWA EDA NA KUTOLEWA?

Kuingizwa au Kutolewa EdaKatika sheria ya Kiislamu hapana suala Ia kuingizwa au kutolewa eda na Sheikh.

Picha ya Hukumu ya Talaka kabla ya kufanya jimai
HUKUMU YA TALAKA KABLA YA KUFANYA JIMAI

Talaka Kabla ya Jimai:Mwanamume au mwanamke anaweza kughairi na kuamua kuvunja ndoa mapema kabla ya kufanya tendo Ia ndoa.

Picha ya taratibu na namna ya kutaliki, na mambo ya kuzingatia
TARATIBU NA NAMNA YA KUTALIKI, NA MAMBO YA KUZINGATIA

Taratibu za Kutaliki KiislamuKama palivyo na taratibu za kuoa Kiislamu ndivyo hivyo pia ilivyo katika kuvunja ndoa.

Picha ya haki ya kutaliki: kuacha na kuachwa katika ndoa ya kiislamu
HAKI YA KUTALIKI: KUACHA NA KUACHWA KATIKA NDOA YA KIISLAMU

Haki ya KutalikiKatika jamii nyingi za kjahili haki ya kutoa talaka iko kwa mwanamume tu na mwanamke hana haki yoyote ya kumtaliki mumee.

Picha ya Maana ya talaka na kuacha ama kuachwa
MAANA YA TALAKA NA KUACHA AMA KUACHWA

Maana ya TalakaTalaka ni utaratibu wa kuvunja mkataba wa ndoa waliofunga mume na mke wakati wa kufunga ndoa mbele ya mashahidi wawili.

Picha ya msimamo wa uislamu juu ya kupanga uzazi na uzazi wa mpango
MSIMAMO WA UISLAMU JUU YA KUPANGA UZAZI NA UZAZI WA MPANGO

Msimamo wa Uislamu juu ya kudhibiti uzaziKama tulivyoona, msukumo wa kampeni ya kudhibiti kizazi, umetokana na mfumo mbaya wa kijamii na kiuchumi ulioundwa na wanadamu kutokana na matashi yao ya ubinafsi.

Picha ya udhaifu wa hoja za kuunga mkono kuzibiti uzazi na uzazi wa mpango
UDHAIFU WA HOJA ZA KUUNGA MKONO KUZIBITI UZAZI NA UZAZI WA MPANGO

Udhaifu wa Hoja za Kudhibiti Uzazi:Hoja nyingi zinazotolewa kuunga mkono udhibiti wa uzazi zimejengwa juu ya hali na mazingira ya maisha yaliyoletwa na utamaduni na maendeleo ya nchi za Ulaya na Marekani.

Picha ya Kuenea kwa dhana ya udhibiti uzazi na uzazi wa mpango
KUENEA KWA DHANA YA UDHIBITI UZAZI NA UZAZI WA MPANGO

Kustawi kwa Kampeni ya Kudhibiti UzaziMiongoni mwa sababu zilizosaidia kustawi kwa kampeni hii ni matokeo ya mapinduzi ya viwanda (Industrial revolution) ya huko Ulaya.

Picha ya Dua ya kuzuru makaburi, na utaratibu wa kuzuru makaburi
DUA YA KUZURU MAKABURI, NA UTARATIBU WA KUZURU MAKABURI

Kuzuru makaburi ni katika matendo ya sunah yaani unapata thawabu kwa kwenda klizuru kaburi.

Picha ya Baada ya kumzika maiti nini kifanyike kumsaidia marehemu
BAADA YA KUMZIKA MAITI NINI KIFANYIKE KUMSAIDIA MAREHEMU

Tumesha mzika maiti sasa imebakia mali yae nyumbani, watoto, wake na menginyeo.

Picha ya Ni kwa nini lengo la Funga na swaumu halifikiwi na wafungaji?
NI KWA NINI LENGO LA FUNGA NA SWAUMU HALIFIKIWI NA WAFUNGAJI?

Kwa nini Lengo la Funga halifikiwi na Wafungaji Wengi?

Picha ya Utaratibu wa kuzika maiti ya kiislamu, hatua kwa hatua
UTARATIBU WA KUZIKA MAITI YA KIISLAMU, HATUA KWA HATUA

Kuzika Kuzika ni kitendo cha nne cha faradh tunacho lazimika kumfanyia ndugu yetu aliyetutangulia kufa.

Picha ya Kwa nini lengo la kutoa zaka halifikiwi na watoaji zaka?
KWA NINI LENGO LA KUTOA ZAKA HALIFIKIWI NA WATOAJI ZAKA?

Kwa nini Lengo la Zakat na Sadaqat Halijafikiwa katika Jamii yetu?

Picha ya Vipi funga yaani swaumu itapelekea uchamungu na kutekeleza lengo
VIPI FUNGA YAANI SWAUMU ITAPELEKEA UCHAMUNGU NA KUTEKELEZA LENGO

Funga inavyomuandaa mtu kuwa mcha-Mungu.