FUNGA YA RAMADHAN
Ni wajibu kwa kila `muislamu aliye balehe na kuwa na akili timamu, na awe mkazi wa mji (asiwe msafiri). Funga pia ni nguzo katika uislamu. Na funga ya ramadhani imethibiti katika qurani na katika sunnah. Amesema Allah: enyi mlioamini kumefaradhishwa kwenu kufunga.…..” Amesema Mtume kuwa: umejengwa uislamu juu ya nguzo tano: kutoa shahada kuwa hakuna Mola apasaye kuabudiwa ila Allah na kuwa Muhammad ni mtume wake, na kusimamisha swala, na kutoa zaka na kuhiji na kufunga mwezi wa ramadhani. (Bukhari na Muslim)
Umeionaje Makala hii.. ?
Atika uislamu swala la kupanga uzazi linaruhusiwa endapo kutakuwa na sababu maalumu za kisheria.
Soma Zaidi...Post hii itakufundisha taratibu zinazofanyika katika kuzuru kaburi la muislamu.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza jinsi ya kuswali swala ya witiri na faida zake kwa mwenye kuiswali.
Soma Zaidi...