SHARTI ZA KUWAJIBIKA KWA ZAKA

SHARTI ZA KUWAJIBIKA KWA ZAKA

Shuruti za Kuwajibika Kutolewa Zaka ya wanyama

Shuruti za kuwajibika kuwatolea Zaka wanyamahoa ni sita, nazo ni:

  1. Uislam.
  2. *Huria (si aliomilikiwa).
  3. Kumiliki kaamili (kumiliki kihalali).
  4. Kutimia kiwango.
  5. Kupitiwa na mwaka.
  6. Kulishiwa machungani.

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Fiqh Main: Dini File: Download PDF Views 1235

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 web hosting    👉3 Simulizi za Hadithi Audio    👉4 Bongolite - Game zone - Play free game    👉5 Dua za Mitume na Manabii    👉6 Kitau cha Fiqh   

Post zinazofanana: