Ni nini kinachosababisha upungufu wa damu?
Asked on: 2023-01-24 11:29:02
Upungufu wa damu husababishwa na uhaba wa madini ya chuma, vitamini B12, au upotezaji wa damu nyingi mwilini.
Saratani ya matiti inaweza kuzuiwa?
Asked on: 2023-01-24 11:29:00
Hakuna njia ya uhakika ya kuzuia saratani ya matiti, lakini uchunguzi wa mara kwa mara na mabadiliko ya mtindo wa maisha yanaweza kusaidia.
Kinga ya mwili hupatikana vipi?
Asked on: 2023-01-24 11:28:57
Kinga ya mwili hupatikana kupitia ulaji wa vyakula bora, mazoezi, na usingizi wa kutosha.
Chanjo ya HPV inalinda dhidi ya nini?
Asked on: 2023-01-24 11:28:55
Chanjo ya HPV inalinda dhidi ya aina fulani za saratani ya shingo ya kizazi na saratani nyingine zinazosababishwa na virusi vya HPV.
Shinikizo la damu ni nini?
Asked on: 2023-01-24 11:28:52
Shinikizo la damu ni hali ambapo nguvu ya msukumo wa damu kwenye mishipa inakuwa juu zaidi ya kawaida.
Ugonjwa wa kisukari unaweza kutibika?
Asked on: 2023-01-24 11:28:50
Hapana, kisukari hakiwezi kutibika, lakini kinaweza kudhibitiwa kupitia lishe bora, dawa, na mazoezi.
Kisonono ni nini na kinaambukizwaje?
Asked on: 2023-01-24 11:28:47
Kisonono ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na bakteria. Huambukizwa kupitia ngono isiyo salama.
Ni njia gani bora ya kuzuia magonjwa ya zinaa?
Asked on: 2023-01-24 11:28:45
Njia bora ni kutumia kondomu, kuepuka ngono zembe, na kuwa na mpenzi mmoja aliye mwaminifu.
Dalili za kisukari ni zipi?
Asked on: 2023-01-24 11:28:42
Dalili za kisukari ni pamoja na kiu kikubwa, kukojoa mara kwa mara, uchovu, na kupungua uzito bila sababu.
Je, malaria husababishwa na nini?
Asked on: 2023-01-24 11:28:40
Malaria husababishwa na vimelea vya plasmodium, ambavyo huenezwa na mbu wa kike wa Anopheles.
haloo
Asked on: 2024-03-26 09:24:29
Habar jee ukiwa mjamzito namimba ishafika wiki 37 unaweza kuzaa na mtoto akapona na ukijihis sehemu ya uke inajaa nidalili gn
Asked on: 2023-06-18 10:46:34
Ety mwanmke akishapita siku zake za hatari je zinaweza kurudi tena kabla hajapata hedhi nyingine ata kama akikaa miezi miwili
Asked on: 2023-06-18 09:27:20
Haziwezi kurudi tena mpaka amalize hedhi yake.
Doctor habari
Mimi Nina darili zote za mimba lkn Jana nimepima kwenye (upt) ukachora msitari mmoja alaf ni mstari nusu
Shida ni nn
Asked on: 2023-06-18 08:20:45
Habari yako Dr, Napenda kuliza swali mm ni mtoto wakike ninatatizo la vitu kunitembea chini ya tumbo nikiwa nimetulia nikiwa na maana chini ya kitovu vinaenda kulia na kushoto pia mdomo kunikauka nidalili gani?
Asked on: 2023-06-18 08:20:08
Habari za uzima nina ndugu yangu anaumwa kuna dude frani limetokezea kama ulimi wa pili lina msumbua sana sijajua ni ugonjwa gani
Asked on: 2023-06-18 08:18:49
Habari naomba niulize mtu mweny presha akipewa daw ndo anakunywa miaka yote? Au itakapo kaa sawa anaweza acha dawa nakupunguza chumvi na mafuta
Asked on: 2023-06-18 08:17:44
Mfano kama n wiki ya tatu hii saaa alafu nina vipele kwenye uso na maumivu ya mwili mara moja moja yanatokea maumivu je hio n yenyewe dalili ya ukimwi
Asked on: 2023-06-18 08:17:16
Habari Mimi nasumbuliwa na ganzi kwenye kiganja Cha mkono wa kulia muda mwingine mkono unachoka kabisa sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini
Asked on: 2023-05-25 14:47:22
Zakat ili uanze kutoa inatakiwa uwe na kuanzia Kiasi gani cha pesa
Asked on: 2023-05-24 16:02:25
Kwa mwenye ukimwi vipele ni lazima kutokea kwenye ulimi na mdomon kwa pamoja
Asked on: 2023-05-24 10:34:12
Nataman kujua vipi kipimo cha ukimwi kinaweza kusoma majibu kwa miez miwili na kuonekana?
Asked on: 2023-05-24 10:33:54
Kwahyo viupele vya rangi nyeupe na rangi ya dhambalau haiwez kuwa dalili ya ukimwi?
Asked on: 2023-05-24 10:33:37
Kabla ya mada yenyewe vipi viupele vya ukimwi vinatokea mdomon kwa nje kidogo vikiwa na rangi nyeupe ukivikwangua vinakuwa vyekundu ila aviumi?
Asked on: 2023-05-24 09:23:28
habr? ni mazoezi gan yanafaa kwa kupunguza uzito?
Asked on: 2023-05-24 09:22:56
Je nivizur kutumia dawa za kuzuia kutapika?
Asked on: 2023-05-24 08:52:20
Swali langu ni kula papai change lkn Nika chemshwa lika iva je hakuna mazara. Lapili huwa napata Mau mivu San chin ya kitovu nikiwa nafanya pirik zangu za Kaz
Asked on: 2023-05-24 08:51:42
Samahani kwausumbufu mim sijaziona siku zangu ila kama nikipata sehemzangu naona kama kuna kivimbe kwandani upande wa kulia siku za nyuma hakukuwepo sasa sijajua ninini
Asked on: 2023-05-24 08:50:08
Je mwanamke mwembamba ataweza jifunguaa Kwa njia ya kawaida
Asked on: 2023-05-24 08:47:57
Madhara gani atayapata mgojwa wa presha akitumia dawa za presha kwa muda mrefu?
Asked on: 2023-05-22 16:48:11
Nauliza kutokww na uchafu kama usaa na unaharufu mbaya baada yakumaliza period unaakaa kama wiki alafu ile hali inapotea
Asked on: 2023-05-22 16:47:35
Shida yangu je matiti yangu yananinyima Raha kabisa yaani sipendi kuvaa brazia kwa mda mrefu Ila kutokana na ukubwa wake inanilazimu nivae tu pindi navyoamka naomba Kama Kuna dawa ambayo inaweza kunisaidia bila madhara ,,sijaolewa bado Wala sijazaa
Asked on: 2023-05-22 14:59:19
Asalam alaykm naomba unipatie ushahid kuunganisha ya magharb na Ishaa kwa sababu ya mawingu
Asked on: 2023-05-22 10:50:15
Naomba kujifuza jinsi ya kuoga janaba
Asked on: 2023-05-21 17:09:10
Je p2 inaweza kushindwa kufanya kazi?
Asked on: 2023-05-21 17:08:46
Kwa kawaida naingia hedhi siku nne ya tano nakuwa namalizia sasa ivi kalibuni nimeingia TU ijumaa juma mos juma pil DAMU ikakata naomba kujua shida ni nini?
Asked on: 2023-05-21 17:07:17
Nlikuw nnaswali vidonda vya tumbo pia vn virusi
Asked on: 2023-05-21 17:06:25
Nisaidie how drug inafanya kazii mwilini na inapita sehemu gani na sehemu ganii na kwanini mtu mwenye peptic ulcer hatumii dawa hizi Adernal hormone ambazo ni hydrocortisone, prednisoloneand dexamethasone
Asked on: 2023-05-21 17:04:00
Migration in a country can be either an asset or liability verify this statement by using five point
Asked on: 2023-05-21 17:03:22
Je kama utete unao Toka ukeni unakuwa na njano njano tatizo nn
Asked on: 2023-05-21 17:02:36
Kipimo Cha u.t.i pia kina weza kugundua mimba
Asked on: 2023-05-21 17:01:46
Et kupt maumv makal ya tumbo chini ya ktov yanaeza ikawa dalili ya ujauzito,,,afu na kipimo Cha ujauzito kinaanza kusoma kwa muda gan
Asked on: 2023-05-21 17:01:23
Kusuka nywele zauzi ukaunganisha kichwani nimakosa au simakosa
Asked on: 2023-05-21 16:59:32
Kirusi cha vvu kinakaa muda gan kwenye vitu vyenye ncha kali
Asked on: 2023-05-21 16:58:22
Ninasumbuliwa na fangasi ambao niliwapata baada yakunyonya uke
Asked on: 2023-05-21 16:57:47