webimage

"BONGOCLASS YOUR SOLUTION"

VITABU


vitabu

Kutana na waandishi wenzio wa vitabu, riwaya na tamthilia. Jifunze namna ya kusambaza vitabu online na kupata pesa kupitia kazi yako. Pata nafasi ya kusambaza na kukuza kipaji na biashara yako. Jiunge na mamia ya waandishi wa kibongo wanaotumia lugha ya kiswahili ili kuwafikia wazawa na watumiaji wa lugha ya kiswahili.

BIASHARA


Books

Kutana na wafanyabiashara wenzio hapa ili tuweze kujadili mambo kadhaa. zijuwe namna za kupata pesa ukiwa kwako kama facebook, youtube, instagram WhatsApp na kwa kutumia blog, website au makala. Kutana na wataalamu hapa upate msaada zaidi. Njoo sasa tufanye biashara pamoja ama mmoja mmoja.

APPS


App

Download Apps zetu upate kufaidika na makala mbalimbali kutoka kwetu. Pata fursa ya kukutana na na wataalamu wa Android na ujifunze mengi. Toa oda ya kutengenezewa App kwa ajili ya kampuni yako, biashara yako ama kutangaza jina lako, wasiliana nasi sasa kwa huduma bora na za uhakika.


Hapa tunashirikiana na waandishi wengine katika kuborsha upashaji wa habari. Bongoclass inakupa fursa ukiwa ni mwandishi kuweza kuweka makala zako hapa. Pia tunawasaidia waandishi wachanga wa blog katika blog zao.

Unaweza kudownload vitabu vyetu, na kama unahitaji kushapisha moja ya vitabu wasiliana nasi. Tunakupa fursa na wewe kama Muandishi kuweka vitabu vyako hapa kwenye maktaba yetu. Kumbuka huduma zetu ni bure kwa wote.

Tunashirikiana na wanablog walio wachanga kuweza kufikia malengo yao. Kama ilivyo tovuti yetu ni changa, na tuna uzoevu mkubwa katika kipindi chote hiki ambacho tovuti yetu imekuwa ikihudumia jamii.