Haki za mwanamke katika uislamu
Haki za mwanamke katika Uislamu
Katika kuhakikisha kuwa mwanamke anapata haki zake Uislam umesisitiza mambo ya msingi yafuatayo:
Kwanza, Uislamu umeweka wazi kuwa uongozi aliopewa mwanamume juu ya familia yake asije akautumia vibaya na akawageuza watu wa familia yake kuwa "Watumwa" naye akawa "Bwana". Bali anatarajiwa kuiongoza familia na kufikia lengo tarajiwa.
Pili, Uislamu umesisitiza kuwa wanawake wapewe fursa zote zitakazo wawezesha kuendeleza vipawa vyao katika kiwango cha juu ili kuinua na kuiendeleza jamii, ila tu mipaka ya Uislamu ichungwe.
Tatu, Uislamu unasisitiza kumuendeleza mwanamke kiwango cha hali ya juu na kumbakisha katika hadhi ya mwanamke. Kuwa mwanamume au kumtayarisha kwa majukumu ya wanaume si katika haki zake wala Si jambo litakalo mletea maendeleo yeye binafsi na jamii nzima kwa ujumla.
Kwa kuzingatia vipengele hivi vya msingi Uislamu unampa mwanamke haki katika nyanja zote za kijamii kama ifuatavyo:
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 ai web app 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Simulizi za Hadithi Audio 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Haki ya kumiliki mali na mipaka yake katika uislamu
Je unaijuwa mipaka yako katika kumiliki mali. Ama unajuwa haki zako katika mali inayomiliki. Endelea na somo
Soma Zaidi...Kugungisha ndoa ya kiislamu hatuwa kwa hatuwa
Hapa utajifunza jinsi ya kuozesha hatuwa kwa hatuwa. Pia utajifunza masharti ya kuoa na masharti ya kuolewa.
Soma Zaidi...darsa nzuri zenye kuelimisha hasa katika ndoa ya kiislam.
Assalaam alykum warahmatullah wabarakatuh.
Soma Zaidi...