Nafasi ya serikali katika ugawaji
Katika suala la ugawaji, wajibu wa serikali ya Kiislamu upo katika maeneo makuu yafuatayo:
(i)Kusimamia utoaji na ukusanyaji wa zaka. Serikali ndiyo yenye wajibu wa kuhakikisha kuwa kila anayepaswa kutoa Zaka anatoa na serikali inasimamia ukusanyaji wake.
(ii)Kutoza na kukusanya kodi iwapo zaka haiku to s ha.
(iii)Kutoza na kukusanya Jizya (aina ya kodi) kutoka kwa wasiokuwa Waislamu (dhimmi) wanaoishi katika dola ya Kiislamu.
(iv)Serikali ya Kiislamu pia inao wajibu wa kuchukua hatua za kupunguza tafauti kati ya maskini na matajiri, kwa kugawa Zakat na kutoa huduma muhimu bure kwa maskini.
Umeionaje Makala hii.. ?
Ni kwa nini Allah ametutaka tugunge. Je kuna lengo gani hasa katika kufunga.
Soma Zaidi...Dhana ya uchumi wa kiislamu imejegwa jui ya ukati na kati. Dhana hii imetofautiana sana na dhana nyinginezo kama ubepari na ujamaa.
Soma Zaidi...Je jamii inachukuliaje swala la kuoa mke zaidi ya mmoja.
Soma Zaidi...Milki ya RasilimaliIli kujipatia maendeleo ya kiuchumi katika zama zote mwanaadamu anahitaji rasilimali za kumwezesha kufikia azma hiyo.
Soma Zaidi...