PYTHON

haya ni mafunzo ya python

Python somo la 60: Hashing na Encryption kwenye Django
PYTHON SOMO LA 60: HASHING NA ENCRYPTION KWENYE DJANGO

Katika somo hili tutajifunza: Tofauti kati ya hashing na encryption Jinsi ya kufunga packages muhimu Jinsi ya kufanya hashing kwa maneno ya kawaida (mfano “bongoclass”) Jinsi ya kufanya encryption na decrypt kutumia Fernet Jinsi Django inahash password kupitia User model Mazoezi ya vitendo

Python somo 57: Matumizi ya Python shell
PYTHON SOMO 57: MATUMIZI YA PYTHON SHELL

Katika somo hili, tutajifunza: Maana ya Python shell na umuhimu wake. Tofauti kati ya shell na terminal ya kawaida. Matumizi ya shell, hususan kwenye Django. Amri muhimu zaidi za Python shell, zilizotokana na models na views zako za pybongo.