Katika somo hili tutajifunza mambo matatu muhimu ya kuboresha admin ya Django: Jinsi ya kubadili header za Django Admin Jinsi ya kuongeza columns zinazojitokeza kwenye admin list Jinsi ya kuweka limit ya rows zinazoonekana kwa kila ukurasa (pagination)
Django Admin ni moja ya vipengele vinavyopendwa sana kwenye Django kwa sababu inakuja tayari ikiwa imejengwa. Lakini ili iwe na mwonekano mzuri na iwe rahisi kutumia, mara nyingi tunahitaji kuiboresha kidogo. Somo hili litakuonyesha hatua muhimu unazohitaji ili kufanya admin yako iwe ya kitaalamu zaidi.
Faili unayohariri ni:
pybongo/pybongo/admin.py
(au menu/admin.py kulingana na mahali unapenda kuandika configuration)
Huu ndio msimbo unaobadili maandishi ya juu (header), title ya browser, na title ya dashboard:
from django.contrib import admin
admin.site.site_header = "Bongoclass Admin Panel"
admin.site.site_title = "Bongoclass Control"
admin.site.index_title = "Karibu kwenye Dashboard la Bongoclass"
Maelezo muhimu:
site_header — maandishi ya juu kabisa kwenye admin.
site_title — jina linaloonekana kwenye tab ya browser.
index_title — jina linaloonekana juu ya ukurasa mkuu wa admin.
Wakati unapoingia kwenye model kama MenuIt">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Hapa tunakwenda kujifunza kuhusu OOP ambapo ni miongoni mwa mitindo ya uandishi wa code
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunz ajinsi ya kutengeneza folda, faili na kuweka data kwneye faili
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza Jinsi ya Kuunda Simple Navigation Menu Katika Django kwa kutumia template
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jisni ya kujuwa aina ya data iliyotumika kwenye python
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kuandika function, kuweka parameter na kuitumia function
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza namna ya kusoma data kutoka kwenye database kupitia Django ORM, jinsi ya kuzipeleka kwenye view, na jinsi ya kuzionyesha kwenye HTML template.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akuziona aina za condition statement kwneye python na jinsi ya kuzitumia
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz amaana ya inheritance na sheria za kuiandika inheritance.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhsu Template Tag nini na kazi zake. Pia utajifunza sheria za uandishi wake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza matumizi ya for loop kwneye python
Soma Zaidi...