Somo hili linazungumzia hatua ya kuunda navigation menu na kutumia template inheritance kwa njia ya kitaalamu katika Django.
Katika ujenzi wa tovuti kwa kutumia Django, ni muhimu kuhakikisha kuwa kurasa zako zina muundo thabiti unaojirudia kama vile menyu ya urambazaji (navigation menu), kichwa cha ukurasa, na maelezo ya ukurasa (metadata). Hii inafanya tovuti iwe rahisi kudhibiti, kupendeza, na kuwa na athari chanya katika mitambo ya utafutaji (SEO).
Katika somo hili, tutajifunza:
Jinsi ya kutumia template inheritance kwa kutumia faili base.html
Kuunda navigation menu inayotumika kwenye kurasa zote
Kuweka CSS ya nje kwa kutumia {% load static %}
Kuongeza metadata ya description kwa kutumia {% block description %}
Tuendelee na app yetu iitwayo menu ndani ya project Pybongo. Tunayo views mbalimbali kama home, about, contact, na blog.
Template tags katika Django.
Zinatumika ndani ya mafaili ya HTML (template files) kwa ajili ya kuendesha logic ndogo ndogo kwenye upande wa frontend. Django ana mfumo wake wa template language ambao una tags nyingi zaidi.
{% extends "base.html" %}
➤ Inatumiwa kurithi template nyingine (template inheritance).
➤ Mfano: Kurasa zote za ndani zinarithi kutoka base.html.
{% block content %}{% endblock %}
➤ Inatumiwa kufafanua sehemu ambayo template za ndani zinaweza kujaza maudhui.
➤ Kila block hupewa jina kama content, title, description, nk.
{% load static %}
➤ Inaruhusu kutumia mafaili kutoka kwenye folder la static, kama vile CSS, JS, picha, n.k.
{% include "file.html" %}
➤ Inatumika kuingiza sehemu ndogo ya template (fragment) ndani ya template nyingine.
➤ Mfano: {% include "menu/navbar.html" %}
Katika folder templates/menu/, tengeneza au badilisha base.html kama ifuatavyo:
{% load static %}
<!DOCTYPE html>
<html lang="en">
<head>
<meta charset="UTF-8">
<title>{% block title %}Pybongo{% endblock %}</title>
<meta name="description" content="{% block de">...Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza vipi django inaweza kuwasiliana na database, utajifunza kuusu orm na model
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kutengeneza htmk form pamoja na kuituma.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akuziona aina za condition statement kwneye python na jinsi ya kuzitumia
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhsu Template Tag nini na kazi zake. Pia utajifunza sheria za uandishi wake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kupokea na kuchakata fomu
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza ktengeneza model kwa ajili ya database table ya menu yetu.
Soma Zaidi...Katika somo hili tunakwenda kujifunza matumizi ya break na continue kwenye loop
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza maana ya variable, na sheria za kutengeneza variable kwenye python. Pia utajifunza maneno ambayo hayafai kutumiwa kama variable
Soma Zaidi...Ni nini maana ya django framework na inafanya kazi gani
Soma Zaidi...