Katika somo hili utakwenda kujifunz ajinsi ya kusoma mafaili na mitindo mbalimbali ya kusoma data
Katika mfano huu, tutajifunza jinsi ya kusoma faili lenye data, kama faili la CSV lililotengenezwa hapo awali. Faili hili lina majina ya wanafunzi na namba zao za simu. Tutafuata hatua zifuatazo:
Faili tunalotaka kusoma lina muundo huu baada ya kuundwa:
Jina,Namba ya Simu
Musa,0712345678
Rehema,0789123456
Upendo,0756789123
Tunatumia open() na mode ya r (read mode) ili kufungua faili kwa kusoma data.
read(): Husoma data yote kama mnyororo wa maandishi.
readlines(): Husoma data yote kama orodha ya mistari.
for loop: Inatumika kusoma mstari mmoja mmoja kutoka faili.
Hii ni njia rahisi ya kusoma data yote kwa wakati mmoja.
with open('wanafunzi.csv', 'r') as file:
data = file.read() # Soma faili lote kama mnyororo wa maandishi
print("Yaliyomo kwenye faili ni:")
print(data)
Output:
Yaliyomo kwenye faili ni:
Jina,Namba ya Simu
Musa,0712345678
Rehema,0789123456
Upendo,0756789123
Method readlines()
inarudisha orodha ya mistari.
with open('wanafunzi.csv', 'r') as file:
lines = file.readlines() # Soma mistari yote kama orodha
print("Mistari ya faili ni:")
print(lines)
Output:
">...
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku host website ya Django. Hapa tutakwenda kutuma plaform ya pythonanywhere.com.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu number method yaani function zinazofanya kazi kwenye namba.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu nadharia ya data abstraction na kazi zake kwenye OOP
Soma Zaidi...Katika somo hili tunakwenda kujifunza matumizi ya break na continue kwenye loop
Soma Zaidi...Katika somo hili uatkwenda kujifunz anamna ambavyo mtu anaweza kuingiza input kwneye system
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akuziona aina za condition statement kwneye python na jinsi ya kuzitumia
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akujifunza jinsi ya kutumia while loop kwneye python
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akujifunza kuhusi Jinsi ya Kutumia JavaScript kwenye Fomu za Django
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya object, na sheria za kuandika object.
Soma Zaidi...