Navigation Menu



image

Python somo la 35: Jinsi ya kutumia MYSQL kwenye python

Katika somo hili utajifunz akutumia database kwenye python

Kutumia MySQL Kwenye Python

Katika somo hili, tutajifunza jinsi ya kuunganisha Python na MySQL kwa kutumia moduli ya mysql.connector. Tutaangazia jinsi ya kuingiza, kusoma, na kuhariri data kwenye hifadhidata (database).


Moduli ya mysql

Moduli ya mysql.connector ndio hutumika katika kuunganisha database ya mysql na python. Hivyo kabl aya kuanza somo itahitajika ku install module hii kw aku run  pip install mysql-connector-python

 


Hatua kwa Hatua

1. Kuunganishwa na MySQL

Msimbo wa Kuunganisha
import mysql.connector

# Kuweka muunganisho
conn = mysql.connector.connect(
    host="localhost",  # Seva ya MySQL
    user="root",       # Jina la mtumiaji wa MySQL
    password="",       # Nenosiri la mtumiaji wa MySQL
    database="my_database"  # Jina la hifadhidata
)

if conn.is_connected():
    print("Connection successful!")
Maelezo ya Kipengele

2. Kuunda Jedwali

Msimbo wa Kuunda Jedwali
cursor = conn.cursor()  # Hutekeleza commdan
cursor.execute("""
CREATE TABLE IF NOT EXISTS students (
    id INT AUTO_INCREMENT PRIMARY KEY,
    name VARCHAR(100),
    age INT
)
""")
print("Table created successfully!")
Maelezo ya Kipengele

3. Kuingiza Data

Msimbo wa Kuingiza Data
query = "INSERT INTO students (name, age) VALUES (%s, %s)"
data = ("Amina", 20)

cursor.execute(query, data)
conn.commit()  # Hifadhi mabadiliko kwenye hifadhidata
print("Data inserted successfully!")
Maelezo ya Kipengele