Katika somo hili utajifunza Jinsi ya Kuunda Simple Navigation Menu Katika Django kwa kutumia template
Katika maendeleo ya tovuti kwa kutumia Django, navigation menu ni kipengele muhimu kinachowezesha watumiaji kuvinjari kurasa mbalimbali kwa urahisi. Katika somo hili, tutajifunza jinsi ya kuunda menu rahisi ya kurasa kama Home, About, Contact, na Blog, tukitumia pure HTML templates bila kuongeza CSS wala JavaScript.
Tutaendelea na app yetu ya menu ndani ya project ya PyBongo, ambapo tayari views na URL patterns zimeandaliwa. Lengo kuu ni kujenga msingi imara wa muonekano wa tovuti kabla ya kuongeza vipengele vya juu zaidi kama template inheritance na styling.
Hakikisha yafuatayo yako tayari katika mradi wako wa Django:
Project: PyBongo
App: menu
Templates folder ikiwa ndani ya menu/
Faili zifuatazo zipo: views.py, urls.py, na templates base.html, home.html, about.html, contact.html, blog.html.
Faili ya views.py ina functions zinazohusiana na kila ukurasa wa tovuti. Kila moja inarejesha template husika kwa kutumia render():
from django.http import HttpResponse
from django.shortcuts import render
# Create your views here.
def index(request):
return render(request, 'menu/base.html')
def home(request):
return render(request, 'menu/home.html')
def about(request):
return render(request, 'menu/about.html')
def blog(request):
return render(request, 'menu/blog.html')
def contact(request):
return render(request, 'menu/contact.html')
Kila function ni view ya Django inayopokea ombi (
request) na kurudisha template ya HTML kupitiarender().
Hizi ndizo njia zinazowezesha kurasa kupatikana kupitia anwani tofauti:
from django.urls import path
from .import views
urlpatterns = [
path('', views.index, name='index'),
path('home/', views.home, name='home'),
path('contact/', views.contact, name='contact'),
path('blog/', views.blog, name='blog'),
path('about/', views.about, name='about'),
]
Anwani kama
127.0.0.1:8000/contact/itafungua ukurasa wa mawasiliano.
Faili ya base.html ndiyo msingi wa tovuti yetu. Tumeweka viungo (links) vya moja kwa moja kwa kila ukurasa:
<!DOCTYPE html>
<html lang="en">
<head">...Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili uatkwenda kujifunz anamna ambavyo mtu anaweza kuingiza input kwneye system
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akujifunza kuhusi Jinsi ya Kutumia JavaScript kwenye Fomu za Django
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza zaidi kuhusu Jinsi ya Kuongeza Kurasa Nyingine Katika Django View
Soma Zaidi...Hapa utajifunza maana ya library, kazi zake aina zake na jinsi ya ku install lirary
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza aina mbalimbali za function ambazo tunaweza kuzitumia kwenye python.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunz ajinsi ya kutengeneza folda, faili na kuweka data kwneye faili
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya object, na sheria za kuandika object.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu nadharia ya data abstraction na kazi zake kwenye OOP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujfunza operator nyingine kama assignment operator logical, identity operator na membership operator.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza maana ya encapsulation na sheria za uandishi wake
Soma Zaidi...