Katika somo hili utakwenda kujifunza kutengeneza htmk form pamoja na kuituma.
Kujifunza jinsi ya:
Kutengeneza fomu ya HTML katika template ya Django.
Kuituma fomu hiyo kwa njia salama kwa kutumia POST.
Kuandaa sehemu ya views.py itakayopokea ombi (lakini bila kuchakata data bado).
<form method="post" action="">
{% csrf_token %}
<label for="jina">Jina:</label>
<input type="text" name="jina" id="jina" required>
<br><br>
<label for="barua">Barua Pepe:</label>
<input type="email" name="barua" id="barua" required>
<br><br>
<input type="submit" value="Tuma Taarifa">
</form>
| Kipengele | Maelezo |
|---|---|
<form method="post"> |
Hutuma data kwa njia salama ya POST. |
action="" |
Hurejea ukurasa huo huo baada ya kutuma fomu. |
{% csrf_token %} |
Hulinda fomu dhidi ya mashambulizi ya CSRF kwa kutumia token ya Django. |
<input> |
Hutumika kuchukua taarifa za mtumiaji (mfano: text, email). |
required |
Huhakikisha mtumiaji hajazi bila kujaza field muhimu. |
Fai">...
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubadili ukurasa wa landing page wa Django na kuweka ukurasa tunaoutaka sisi.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akujifunza kwa urefu zaidi kuhusu parameter ambazo hutumika kwenye functions
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza jinsi ya kutumia Django ORM kufanya mahesabu mbalimbali kama Sum, Avg, Count, Max, Min, pamoja na kupunguza idadi ya items zinazoonekana kwenye dashboard (LIMIT). Pia tutajifunza namna ya kutengeneza βdifferenceβ kati ya thamani kubwa na ndogo bila kubadilisha functions zozote ulizokwisha ziandika.
Soma Zaidi...Ni nini maana ya django framework na inafanya kazi gani
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akujifunza jinsi ya kutumia while loop kwneye python
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz amaana ya module, kazi zake, aina zake na jinsi ya kuandika modile
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu operator. Hasa hapa tutakwend akujifunz akuhusu comparison operaor.
Soma Zaidi...Katika somo hili uatkwenda kujifunz anamna ambavyo mtu anaweza kuingiza input kwneye system
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza matumizi ya for loop kwneye python
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza mambo matatu muhimu ya kuboresha admin ya Django: Jinsi ya kubadili header za Django Admin Jinsi ya kuongeza columns zinazojitokeza kwenye admin list Jinsi ya kuweka limit ya rows zinazoonekana kwa kila ukurasa (pagination)
Soma Zaidi...