Katika somo hili utakwenda kujifunza vipi django inaweza kuwasiliana na database, utajifunza kuusu orm na model
Kuelewa jinsi Django inavyowasiliana na database.
Kufahamu maana ya ORM.
Kutambua aina ya databases zinazotumika.
Kuelewa dhana ya model kama mwakilishi wa jedwali kwenye database.
Django ni framework ya Python inayokuja na ORM (Object-Relational Mapper). Hii inamaanisha unaweza kuandika class za Python (zinazoitwa models) ambazo Django huzitafsiri kuwa mabehewa ya data (tables) kwenye database.
Kwa mfano:
class Chakula(models.Model):
jina = models.CharField(max_length=100)
bei = models.DecimalField(max_digits=6, decimal_places=2)
Model hiyo inaweza kuwa sawa na jedwali kwenye database lenye safu jina
na bei
.
ORM (Object-Relational Mapping) ni njia ya kubadilisha data kati ya mfumo wa OOP (kama Python classes) na relational database (kama SQLite au PostgreSQL).
Badala ya kuandika SQL kama:
INSERT INTO menu_item (jina, bei) VALUES ('Wali', 3500);
Ungeandika kwa Django:
MenuItem.objects.create(jina='Wali', bei=3500)
➡️ Django inachukua hiyo code na inaigeuza kuwa SQL kwa nyuma yako.
Kwa chaguo la mwanzo (default), Django hutumia:
SQLite – ni database ya file moja. Hufaa kwa development au project ndogo.
Lakini unaweza kubadilisha na kutumia:
PostgreSQL – inapendekezwa kwa project kubwa.
MySQL
Oracle
Haya yote yanawezek">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utajifunz akutumia database kwenye python
Soma Zaidi...Katika somo hili uatkwenda kujifunz anamna ambavyo mtu anaweza kuingiza input kwneye system
Soma Zaidi...Ni nini maana ya django framework na inafanya kazi gani
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jisni ya kujuwa aina ya data iliyotumika kwenye python
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza maana ya polymorphism na sheria za uandishi wake
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku host website ya Django. Hapa tutakwenda kutuma plaform ya pythonanywhere.com.
Soma Zaidi...Katika somo hili tunakwenda kujifunza matumizi ya break na continue kwenye loop
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunz ajinsi ya kutengeneza folda, faili na kuweka data kwneye faili
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujfnza kuhusu string method nyinginezo. Katika somo lililopita tulijifunza kuhusu string indexing.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akujifunza jinsi ya kutumia while loop kwneye python
Soma Zaidi...