Katika somo hili tutakwend akujifunza kuhusi Jinsi ya Kutumia JavaScript kwenye Fomu za Django
Katika somo hili, utajifunza:
β Jinsi ya kutumia JavaScript kwenye templates za Django.
β Kufanya form validation kwa upande wa client (JavaScript).
β Kuonyesha taarifa zilizojazwa kabla hazijatumwa kwa server.
β Njia bora ya kuweka JavaScript ndani ya fomu ya Django.
Templates za Django hutoa HTML kwa mtumiaji, na ndani ya HTML unaweza kutumia JavaScript kwa njia mbili:
Moja kwa moja kwenye template:

Kupitia static file:
Unapaswa kuwa umeweka form.js ndani ya static/js/ ya app yako.
{% load static %}

Hii inasaidia kutenganisha HTML na JavaScript kwa ufanisi zaidi.
Validation ya JavaScript husaidia kuzuia data isiyo sahihi kutumwa kwa server. Hii huitwa client-side validation.

{% csrf_token %}
Jina:

Ujumbe:
<textarea id="ujumbe" name="ujumbe"></textarea>

β οΈ Django bado itafanya validation upande wa server kupitia
views.py, kwa usalama zaidi.
Mtumiaji anaweza kuona alichoandika kabla hajabonyeza Tuma:

Jina:

Ujumbe:
<textarea id="ujumbe" name="ujumbe"></textarea>

Angalia Taarifa

&l">...Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili uatkwenda kujifunz anamna ambavyo mtu anaweza kuingiza input kwneye system
Soma Zaidi...Katika somo hili tunakwenda kujifunza aina nyingine za data ambazo hutumika kwenye python.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhsu Template Tag nini na kazi zake. Pia utajifunza sheria za uandishi wake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu maana ya python na kazi zake. pia jinsi ya kuandaa kifaa chako kwa ajili ya somo.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz amaana ya inheritance na sheria za kuiandika inheritance.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza zaidi kuhusu Jinsi ya Kuongeza Kurasa Nyingine Katika Django View
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza matumizi ya for loop kwneye python
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunz akutumia database kwenye python
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz anamna ya kuwez akupata taarifa zinazohusu faili
Soma Zaidi...