Katika somo hili utakwend akujifunza kuchakata data kwa Kutumia Loops na Conditions katika Django Templates
Django Templates hutoa uwezo mkubwa wa kutumia masharti (conditions) na mizunguko (loops) moja kwa moja kwenye HTML. Somo hili linakuonyesha namna ya kutumia {% if %}
, {% for %}
, na vipengele vya ziada kama forloop.counter
na forloop.first

{% if %}
, {% elif %}
, na {% else %}
Masharti hutumika kufanya maamuzi kulingana na thamani au hali ya data.
{% if jina == "Django" %}

Jina ni Django!

{% endif %}
{% if jina %}

Jina lako ni {{ jina }}

{% else %}

Hakuna jina lililowekwa.

{% endif %}
elif
{% if muda < 5 %}

Kozi ni fupi.

{% elif muda == 5 %}

Kozi ya wastani.

{% else %}

Kozi ni ndefu.

{% endif %}
length
, divisibleby
){% if jina|length > 10 %}

Jina lako ni refu sana!

{% endif %}
{% if idadi|divisibleby:2 %}

{{ idadi }} ni namba shufwa.

{% endif %}
{% for %}
LoopLoops hutumika kurudia items katika listi, dictionary, au queryset kutoka kwenye views.
# views.py
context = {
'majina': ["Juma", "Asha", "Mohamed", "Elena"]

{% for jina in majina %}

{{ jina }}

{% endfor %}

{% for jina in majina %}

Mwanafunzi {{ forloop.counter }}: {{ jina }}

{% endfor %}

# views.py
context = {
'wanafunzi': {
'Juma': 85,
'Asha': 92,
'Mohamed': 78,

Jina

Alama

{% for jina, alama in wanafunzi.items %}

{{ jina }}

{{ alama }}

{% endfor %}

# views.py
context = {
'bidhaa': [
{"jina": "Mkate", "bei": 500},
{"jina": "Sukari", "bei": 1200},

...Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwend akujifunza aina mbalimbali za function ambazo tunaweza kuzitumia kwenye python.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu maana ya python na kazi zake. pia jinsi ya kuandaa kifaa chako kwa ajili ya somo.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya object, na sheria za kuandika object.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza matumizi ya for loop kwneye python
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akuziona aina za condition statement kwneye python na jinsi ya kuzitumia
Soma Zaidi...Katika somo hili uatkwenda kujifunz anamna ambavyo mtu anaweza kuingiza input kwneye system
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akujifunza jinsi ya kutumia while loop kwneye python
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz amaana ya inheritance na sheria za kuiandika inheritance.
Soma Zaidi...Katika soo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubaduli aina moja ya data kwena aina nyingine. Kwa mfano unaweza kubadili namba kuwa string ama kubadili string kuwa nanda ama kubadili float kuwa int.
Soma Zaidi...