PYTHON somo la 12: assignment operator, logical operator, identity oeprator na membership operator

PYTHON somo la 12: assignment operator, logical operator, identity oeprator na membership operator

Katika somo hili utakwenda kujfunza operator nyingine kama assignment operator logical, identity operator na membership operator.

Assignment operator:

Hizi ni zile operator ambazo hutumika ku assign thamani kwenye variable, yaani kuipa variable thamani. Kama unaposema x = 2 hapo assignment operator (=) imetumika kuipa x thamani yake. 

Mifano ya assignment operator:-

  1. Alama ya (=) mfano a = 3
  2. Alama ya (+=) mfano a += 3 hii ni sawa na kuandika a = a+3
  3. Alama ya (-=) mfano a -=3 hii ni sawa na kuandika a = a-3
  4. Alama ya (*=) mfano a *=3 hii ni sawa na kundika a = a *3
  5. Alama ya (/=) mfano a /=3 hii ni sawa na kuandika a = a/3
  6. Alama ya (%=) mfano a %3 hii ni sawa na kuandika a = a %3


 

Logical operator:

Hizi hutumika kuweka logical kwenye variable ama thamani

  1. && huitwa logical and alama hii kwenye programming inamaanisha and yaani “na” . yenyewe italeta jbu true kama statement itakuwa kweli na kinyume chake. Mfano 2 ni kubwa kuliko 1 na 3 kubwa kuliko 2. Sasa haya melezo yote ni sawa hivyo jibu ni true. Maelezo haya unaweza kuyaandika hivi:  2 > 1 && 3>2

 

  1. || huitwa logical or alama hii ina aana or  yaan “au” hii itatoa jibu true kama moja ya statement ni kweli mfano 2 ni kubwa kuliko 5 au 6 ni kubwa kuliko 5. Hapa statement ya kwanza sio kweli, lakini ya mbili ni kweli, hivyo kwa ujumla tutapata jibu true kwa kuwa moja ya statement ni true. Maelezo haya tunaweza kuyaandika hivi 2 > 5 || 6>5

 

  1. ! huitwa logical not kazi yakeni kukataa statement, kama ni ya ukwei inakuwa ni uongo. Mfano tunajuwa kuwa 5 ni sawa na 5 hivyoukiandika hivi 5 ==5 hi ni true. Lakini kama nitaweka logical not ...
Ingia sasa ili uweze kusoma makala hii yote.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Python Main: Masomo File: Download PDF Views: 1617

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 kitabu cha Simulizi     πŸ‘‰2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     πŸ‘‰3 Dua za Mitume na Manabii     πŸ‘‰4 web hosting     πŸ‘‰5 Kitabu cha Afya     πŸ‘‰6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    

Post zinazofanana:

Python somo la 42: Template tag

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhsu Template Tag nini na kazi zake. Pia utajifunza sheria za uandishi wake.

Soma Zaidi...
Python somo la 58: Jinsi ya Kuboresha Django Admin

Katika somo hili tutajifunza mambo matatu muhimu ya kuboresha admin ya Django: Jinsi ya kubadili header za Django Admin Jinsi ya kuongeza columns zinazojitokeza kwenye admin list Jinsi ya kuweka limit ya rows zinazoonekana kwa kila ukurasa (pagination)

Soma Zaidi...
Python somo la 49: Jinsi ya ku host project ya Django

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku host website ya Django. Hapa tutakwenda kutuma plaform ya pythonanywhere.com.

Soma Zaidi...
Python somo la 45: Kutumia Loops na Conditions katika Django Templates

Katika somo hili utakwend akujifunza kuchakata data kwa Kutumia Loops na Conditions katika Django Templates

Soma Zaidi...
Python somo la 60: Hashing na Encryption kwenye Django

Katika somo hili tutajifunza: Tofauti kati ya hashing na encryption Jinsi ya kufunga packages muhimu Jinsi ya kufanya hashing kwa maneno ya kawaida (mfano β€œbongoclass”) Jinsi ya kufanya encryption na decrypt kutumia Fernet Jinsi Django inahash password kupitia User model Mazoezi ya vitendo

Soma Zaidi...
Python somo la 43: Kutuma Data kutoka View kwenda Template katika Django

Katika somo hili uatajifunza jinsi gani unaweza kutumia view kma logic kuuma data kwenye template

Soma Zaidi...