Python somo la 54: Jinsi ya Kusoma Data Kutoka Database kwenye Django

Python somo la 54: Jinsi ya Kusoma Data Kutoka Database kwenye Django

Katika somo hili tutajifunza namna ya kusoma data kutoka kwenye database kupitia Django ORM, jinsi ya kuzipeleka kwenye view, na jinsi ya kuzionyesha kwenye HTML template.

Utangulizi

Leo tutajifunza namna ya kupata data kutoka kwenye jedwali la MenuItem na kuionyesha kwenye ukurasa wa mtumiaji kwa kutumia Django ORM pamoja na template.


Sasa tuingie kwenye somo letu…


1. Kutumia Django ORM kusoma data

Django ORM hutupatia njia rahisi sana ya kusoma data bila kuandika SQL moja kwa moja.

Mfano wa kupata records zote

items = MenuItem.objects.all()

Hii inarudisha orodha ya vitu vyote kwenye jedwali.


Kusoma record moja

item = MenuItem.objects.get(id=1)

Kutafuta kwa filter

items = MenuItem.objects.filter(muda_upatikanaji="Asubuhi")

Kuchagua order

items = MenuItem.objects.all().order_by('bei')

2. Kutengeneza View ya Kuonyesha Orodha ya Menu

Unda view mpya kwenye views.py:

from django.shortcuts import render
from .models import MenuItem

def orodha_menu(request):
    items = MenuItem.objects.all()
    return render(request, 'orodha_menu.html', {'items': items})

Maelezo:


3. Kuongeza URL route

Kwenye urls.py:

path('orodha/', views.orodha_menu, name='orodha_menu'),

4. Kutengeneza Template (HTML) ya Kuonyesha Data

Unda faili orodha_menu.html ndani ya templates/:

<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
    <title>Orodha ya Menu</title&...
Ingia sasa ili uweze kusoma makala hii yote.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2025-11-23 19:14:28 Topic: Python Main: Masomo File: Download PDF Views: 499

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 web hosting     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Simulizi za Hadithi Audio     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

PYTHON - somo la 8: method za namba zinazotumika kwenye python

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu number method yaani function zinazofanya kazi kwenye namba.

Soma Zaidi...
Python somo la 38: Kubadilisha landing page ya Django Framework

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubadili ukurasa wa landing page wa Django na kuweka ukurasa tunaoutaka sisi.

Soma Zaidi...
Python somo la 24: Nini maana ya Object Oriented Programming

Hapa tunakwenda kujifunza kuhusu OOP ambapo ni miongoni mwa mitindo ya uandishi wa code

Soma Zaidi...
Python somo la 27: polymorphism kwneye python

Katika somo hili utajifunza maana ya polymorphism na sheria za uandishi wake

Soma Zaidi...
Python somo la 13: Kutumia condition statement - if, else, elif

Katika somo hili tutakwend akuziona aina za condition statement kwneye python na jinsi ya kuzitumia

Soma Zaidi...
Python somo la 61: Jinsi ya kutuma email kwenye django

Katika maeneo ya development, tunahitaji kutuma email mara nyingi kwa madhumuni ya: Kujaribu mfumo wa OTP Password reset System notifications Activation codes Lakini mara nyingi hatutaki emails ziondoke kwenda kwa watu halisi wakati bado tupo kwenye majaribio.

Soma Zaidi...