Katika soo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubaduli aina moja ya data kwena aina nyingine. Kwa mfano unaweza kubadili namba kuwa string ama kubadili string kuwa nanda ama kubadili float kuwa int.
Kwa nini somo hili ni muhimu?
Ili uweze kujuwa umuhimu wa somo hili nitakuletea case hapo chini ambazo zitaonesha umuhimu wa somo hili:-
1. Katika programming language kama python unapotumia user input prompt data zinakuja katuka hali ya string. Mfano program yako inahitaji mtu aweke umri wake. Sasa huo umri ataandika 24 kwa mfano. Lakini hiyo 24 itahesabika kuwa ni string, hivyo huwezi kuifanyia mahesabu. Hivyo basi utahitajika kuibadili kuwa aina ya data unayotaka kama integer ama float.
2. Katika python unapogawanya namba mbili jibi linakuja katika mtindo wa floaf yaani namba zeye desimali. Hivyo wakati mwingine itahitajika uzibadili kuwa integer ili uweze kuifanyia mahesabu.
Jinsi ya kubadili ainaza data
1. Kubadili data kuwa namba yaani integer
Ili uweze kubadili data kuwa int utatumia function ya int(), itabeba argument moja ndani yake ambayo ni hiyo data.
Mfano:
print('5' +5); Hii itakuletea error kwa sababu 5 ya kwanza ni string na hiyo ya pili ni int. Hivyo basi tutibadilisha hiyo ya kwanza kuwa int
print(int('5') +5) hii hapa itakupa jibu 10 kwa kuwa data zetu zote zipo katika format moja ya int
2. Kubadili data kuwa string:
Ili kubadili data kuwa str tutatumia function hii str() na itabeba argument moja amba">...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowKatika somo hili utakwend akujifunz ajinsi ya kutumia html kwneye python
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kuandika function, kuweka parameter na kuitumia function
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujfunza operator nyingine kama assignment operator logical, identity operator na membership operator.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunz ajinsi ya kutengeneza folda, faili na kuweka data kwneye faili
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akujifunza kwa urefu zaidi kuhusu parameter ambazo hutumika kwenye functions
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza matumizi ya for loop kwneye python
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz ajinsi ya kusoma mafaili na mitindo mbalimbali ya kusoma data
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza maana ya encapsulation na sheria za uandishi wake
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza aina mbalimbali za function ambazo tunaweza kuzitumia kwenye python.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya object, na sheria za kuandika object.
Soma Zaidi...