PYTHON - somo la 6: Jinsi ya kujuwa aina ya data iliyotumika

Katika somo hili utajifunza jisni ya kujuwa aina ya data iliyotumika kwenye python

Ili uweze kujuwa aina ya data iloiyotumika kwenye pytho tutatumia function ya type(). Hii hutumika kutambuwa ni aina gfani ya data iliyotumuka. Angalia mifano hii:-

Mfano 1:

mafunzo = "python, php, javascript, java"

print(type(mafunzo))

Hii itakupa majibu haya:

<class 'str'> kumanisha kuwa hiyo object hapo ni string. String hufupishwa kwa kuandika str. Kwahiyo hapo tunapata majibu kuwa "python, php, javascript, java" Ni string

Mfano 2

bei = 16500

print(type(bei))

 

Hii itakupa majibu <class 'int'> kumaanisha kuwa hii ni int yaani namba

 

Mfano 3

bei = 2.5

print(type(bei))

">...

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Python Main: ICT File: Download PDF Views 386

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya    👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉3 Simulizi za Hadithi Audio    👉4 Kitau cha Fiqh    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Madrasa kiganjani   

Post zinazofanana:

Python somo la 22: Package kwenye Python

Hapa utakwenda kujifunz amaana ya package, aina zake na jinsi ya kuandika package.

Soma Zaidi...
Python somo la 36: Django framework - Utangulizi

Ni nini maana ya django framework na inafanya kazi gani

Soma Zaidi...
Python somo la 18: Jinsi ya kuandika function

Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kuandika function, kuweka parameter na kuitumia function

Soma Zaidi...
PYTHON - somo la 7: Jinsi ya kubadili aina ya data

Katika soo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubaduli aina moja ya data kwena aina nyingine. Kwa mfano unaweza kubadili namba kuwa string ama kubadili string kuwa nanda ama kubadili float kuwa int.

Soma Zaidi...
PYTHON - somo la 1: Jinsi ya ku install python

Katika somo hili utajifunza kuhusu maana ya python na kazi zake. pia jinsi ya kuandaa kifaa chako kwa ajili ya somo.

Soma Zaidi...
PYTHON somo la 12: assignment operator, logical operator, identity oeprator na membership operator

Katika somo hili utakwenda kujfunza operator nyingine kama assignment operator logical, identity operator na membership operator.

Soma Zaidi...
Python somo la 15: Jinsi ya kutumia while loop

Katika somo hili tutakwend akujifunza jinsi ya kutumia while loop kwneye python

Soma Zaidi...
Python somo la 50: database kwneye django

Katika somo hili utakwenda kujifunza vipi django inaweza kuwasiliana na database, utajifunza kuusu orm na model

Soma Zaidi...
Python somo la 40: Jinsi ya Kuunda Simple Navigation Menu Katika Django

Katika somo hili utajifunza Jinsi ya Kuunda Simple Navigation Menu Katika Django kwa kutumia template

Soma Zaidi...