Katika somo hili utakwenda kujifunza syntaxy za python yaani sheria na kanuni za kuandika code za python
Kujuwa kanuni ni jambo la kwanza na la msngi zana kwa kila luga ya kikompyuta. Kanuni hizi zitakurahisishia hatua za ujifunzaji na utendeaji kazi wa language hiyo.
Kwanza tutajifunza kuweka comment. Comment ni hint ambazo programmer anaandika kwa lengo la kuelezea mstari wa code na kikundi cha code. Melezo haya huwa komyuta inayapuuza wakati wa ku run program. Yaani comment haikuhsiki katika utendaji kazi wa program.
Kwa ufui unaweza kusema commect ni maelekezo kwa ajili ya programmer lakini code ni maelekezo kwa ajili ya kompyuta.
Sasa kwenye python comment ya mstari mmoja utaiweka kwa kuanza na alama hii # yaani alama ya reli kisha itafuata comment yako.
Mfano
#print hutumika ku dislay text
print("haloo bongoclass")
Code hizi zitakupa matokeo haloo bongoclass na hayo maandikshi yaliofuata baada ya reli hayatahusika kwenye program yetu. Kwa kutumia njia hiyo unaweza ku comment mistari i ngi zaidi angalia mfano hapo chini
#print hutumika ku dislay text
#alama ya reli hutumika ku comment mstari mmoja
print("haloo bongoclass")
Sasa endapo unataka ku comment para graph nzima utatumia alama “”” au alama hizi ‘’’ hizo ni alama za funga semi. Angalia mfano hapo chini:-
"""print hutumika ku dislay text
alama ya reli hutumika ku comment mstari mmoja
print("haloo bongoclass")
"""
print("mafunzo ya python")
Hizo zitakupa matokeo mafunzo ya python na maandisi yote yalobaki ni comment hivyo kompyuta imeyapuuzia. Mfano huo ni sawa na huu hapa chini:-
'''print hutumika ku dislay text
alama ya reli hutumika ku comment mstari mmoja
print("haloo bongoclass")
'''
print("mafunzo ya python")
2. KWENYE KUACHA NAFASI (IDENTATION)
Identation ni ile nafasi inayoachwa mwanzoni mwa code. Sasa python haio kama lugha nyingine ambapo kikundi cha code hutofautishwa na ala ya } hivyo ili inatumia identation.
Angalia code hizi
Code hizo hapo hazina shida. Lakini endapo utawacha nafasi apo itakuelea error. Tofauti na lugha yingine kama php ambazo hazijali uwache nafasi ama usiwache. Jaribu ku run code hizo hapo chini
Hizo hapo hazitafanya kazi kwa sababuumewaca nafasi apo mwanzo. Utapata identation Error
Pia kwenye code block unatakiwa uwache nafasi ili kutofautisha na code block nyingine. Kwa mfan">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubadili ukurasa wa landing page wa Django na kuweka ukurasa tunaoutaka sisi.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akujifunza kwa urefu zaidi kuhusu parameter ambazo hutumika kwenye functions
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya object, na sheria za kuandika object.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kutengeneza htmk form pamoja na kuituma.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunz ajinsi ya kutengeneza folda, faili na kuweka data kwneye faili
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kuandika function, kuweka parameter na kuitumia function
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwend akujifunza jinsi ya kutumia while loop kwneye python
Soma Zaidi...Hapa tunakwenda kujifunza kuhusu OOP ambapo ni miongoni mwa mitindo ya uandishi wa code
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza matumizi ya for loop kwneye python
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza vipi django inaweza kuwasiliana na database, utajifunza kuusu orm na model
Soma Zaidi...