picha
SABABU ZA ZA UGUMBA KWA MWANAUME

Post hii inahusu zaidi sababu za ugumba kwa Mwanaume, ni sababu ambazo umfanye mwanaume ashindwe kumpatia mwanamke mimba.

picha
NAMNA YA KUZUIA UGONJWA WA HOMA YA INNI.

Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni, ni njia ambazo utumiwa Ili kuepuka kusambaa kwa...

picha
MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA DINI

Kwenye kipengele hichi tutajifunza mitazamo ya kikafiri juu ya dini.

picha
ZOEZI

Maswali mbalimbali yanayohusu elimu ya dini ya kiislamu na mwongozo wa elimu na elimu mazingira.

picha
ELIMU YA MWINGOZO NA ELIMU YA MAZINGIRA KATIKA UISLAMU

Mahusiano kati ya elimu ya mwongizo na elimu ya mazingira katika uislamu.

picha
ELIMU YENYE MANUFAA

Kwenye kipengele hiki tutajifunza elimu yenye manufaa kwenye jamii na pia tutajifunza sifa za elimu yenye manufaa.

picha
HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYE UNGUA NA MOTO.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa aliyeungua na Moto.

picha
DALILI NA ISHARA ZA JERAHA KWENYE NGOZI

Posti hii inaonyesha dalili,sababu na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa aliyepata jeraha kwenye ngozi kwa kuingiliwa na kitu...

picha
MGAWANYO WA ELIMU USIOKUBALIKA KATIKA UISLAMU.

Kipengele hichi kinahusu mgawanyiko wa elimu usiokubalika katika uislamu.sababu za mgawanyiko wa elimu udio sahihi katika uislamu.

picha
MAFUNZO YZ DATABASE MYSQL DATABASE SOMO LA 12 (FINAL)

Huu ni muendelezowa mafunzo ya database kwa kutumia MySQl na hili ni somo la 12. katika somo hili tutajifunza namna...

picha
MAFUNZO YA DATABASE MYSQL DATABASE SOMO LA 11

huu ni muendelezo wa mafunzo ya Database klwa kutumia MySQL na hili ni somo la 11. katika somo hili tutaendelea...

picha
MAFUNZO YA DATABASE MYSQL DATABASE SOMO LA 10

Huu ni muendelezo wa mafunzo ya Database kwa kutumia MySQL na hili ni somo la 10. katika somo hili tutakwenda...

picha
HUDUMA YA KWANZA KWA MWENYE UCHAFU KWENYE SIKIO.

Posti hii inaelezea kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kqa mgonjwa aliyeingiliwa na kitu au uchafu kwenye sikio.

picha
MBINU ZA KUTOA HUDUMA YA KWANZA KWA WAGONJWA WALIOINGILIWA NA UCHAFU PUANI.(FOREIGN BODY).

Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa alieye ingiwa na uchafu puani...

picha
MBINU ZA KUTOA HUDUMA YA KWANZA KWA WAGONJWA WALIO NA MAJERAHA YA MACHO.

Posti hii inaelezea kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa walio na majeraha ya macho kutokana na aina...

picha
JINSI YA KUOMBA DUA ILI IKUBALIWE NA ALLAH

Kukubaliwa kwa dua kunategemea mahusiano yako na Allah. hata hivyo kuna baadhi ya mabo ukiyafanya dua yako inaweza kukubaliwa kwa...

picha
ATHARI ZA UGONJWA WA HOMA YA INNI

Posti hii inahusu zaidi adhari za ugonjwa wa Homa ya inni, hizi ni athari ambazo zinaweza kutokea ikiwa ugonjwa huu...

picha
DALILI ZA UGONJWA WA INI

Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa inni, hizi ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye ugonjwa wa inni,...

picha
MAFUNZO YA DATABASE MYSQL DATABASE SOMO LA 9

haya ni mafunzo ya database kwa kutumia MySQl na hili ni somo la 9. katika soo hili utajifunza namna ya...

picha
NJIA ZA MAAMBUKIZI YA HOMA YA INNI

Posti hii inahusu zaidi njia za maambukizi ya Homa ya inni, Homa ya inni usababishwa na virusi viitwavyo Hepatitis B,...

picha
ATHARI ZA UGONJWA WA DONDAKOO

Posti hii inahusu zaidi athari za ugonjwa wa Dondakoo,hali hii utokea iwapo ugonjwa haukutibiwa mapema au umetibiwa lakini bado Kuna...

picha
DALILI ZA UGONJWA WA DONDA KOO

Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa Donda Koo ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea viitwavyo kwa kitaalamu corynebacterium diphtheria,...

picha
AINA YA KISUKARI INAYOJULIKANA KAMA DIABETY TYPE 1

Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kisukari Aina ya kwanza ambapo kwa kitaalamu huitwa Diabetes type 1, ni hali ambayo...

picha
MSAADA KWA ALIYE NA UVIMBE KWENYE KIBOFU CHA MKOJO.

Posti hii inahusu zaidi msaada kwa aliye na uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo, ni huduma maalumu ambayo utolewa kwa mtu...

Page 181 of 230

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.