Mahusiano kati ya elimu ya mwongizo na elimu ya mazingira katika uislamu.
- Kusimama na kuendelea kwa Uislamu katika jamii, kunategemea sana uwepo wa elimu zote mbili katika utekelezaji wake.
- Elimu ya mazingira pekee inapelekea kutofanyika haki na uadilifu katika jamii na kukosekana mwongozo sahihi wa maisha ya jamii.
- Elimu ya mwongozo pekee pia hupelekea udhaifu katika kuyamudu mazingira kutokana na kukosekana fani mbali mbali za kimaendeleo.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Maringo, majivuno, majigambo, dharau ni vipengele vya kibri.
Soma Zaidi...Mwanadamu hawezi kuishi bila dini, kwani dini imekusanya mfumo mzima wa maisha yake.
Soma Zaidi...Nguzo za Imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Bila shaka wanaume wenye kufuata vizuri nguzo za Uislamu, na wanawake wanaozifuata vizuri nguzo za Uislamu, na wanaume wanaoamini vizuri nguzo za Imani, na wanawake wanaoamini vizuri nguzo za Imani, na wanaume wanaotii, na wanawake wanaotii, na wanaume wa
Soma Zaidi...