Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa Donda Koo ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea viitwavyo kwa kitaalamu corynebacterium diphtheria, ugonjwa huu ushambulia Koo na unaweza kuenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya hewa, mate na
Dalili za ugonjwa wa Donda Koo.
1. Kuwepo kwa vidonda kooni.
Hali hii utokea kwa mgonjwa mwenye Donda Koo kw kuwepo kwa vidonda kooni ni kwa sababu ya maambukizi ya bakteria ambao ushambulia Koo na kusababisha vidonda na kwa kiwango kikubwa ugonjwa huu uwashambulia hasa watoto wenye Chini ya umri wa miaka mitano kwa hiyo baada ya kutambua Dalili hii mgonjwa anapaswa kumpelekwa hospitalini kwa matibabu zaidi.
2. Mgonjwa huwa na makamasi yaliyochanganywa na damu.
Hii ni mojawapo ya dalili ya Dondakoo kwa watoto tukumbuke kuwa ugonjwa huu ushambulia sana sehemu za mfumo wa hewa baada ya bakteria kushambulia sehemu za mfumo wa hewa usababisha michubuko kwenye mfumo na kwa sababu ya maambukizi mafua uwepo yakiandamana na damu iliyotoka kwenye sehemu za maambukizi.
3. Kuwepo kwa utando kwenye Koo.
Kwa sababu ya kuwepo kwa bakteria usababisha utando kwenye Koo la mtoto ambapo hali hii usababisha mtoto hashindwe kunyonya au kumeza kitu chochote na mtoto upumua kwa shida, kwa hiyo tunaona ugonjwa huu ulivyo mbaya kwa watoto tunapaswa kuwapeleka watoto kwenye chanjo Ili kuepusha madhara makubwa zaidi kama kuwepo kwa utando kwenye Koo. Ambao huzuia mtoto ashindwe kumeza.
4, Maumivu makali ya shingo.
Kwa upande wa mtoto kunakuwepo maumivu makali ya shingo kwa sababu ya kuenea kwa bakteria ambao usambaza maumivu kwenye sehemu mbalimbali kama vile kwenye shingo na Mtoto uhisi maumivu makali na pengine kushindwa kugeuka kwa hiyo tunapaswa kuzingatia chanjo kwa ajili ya kuepuka madhara makubwa kama hayo.
5. Kuvimba kwa shingo na kusababisha shingo kuwa kubwa ambayo umnyima mtoto amani na kumfanya mtoto aanze kulia mda wote na kitendo Cha mgonjwa kuvimba shingo huitwa shingo ngoti Ili kuitofautisha na matimbwitimbwi kwa hiyo jamii inabidi kupewa elimu kuhusu ugonjwa huu na kuhakikisha kila mtoto anapata chanjo Ili kuepusha madhara mbalimbali yanayotokea kwa mtoto.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi dalili mbalimbali ambazo zinaweza kujitokeza na kuonyesha kwamba moyo umetanuka.
Soma Zaidi...Hepatitis C ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoshambulia ini na kusababisha kuvimba. Watu wengi walioambukizwa na virusi vya Hepatitis C (HCV) hawana dalili. Kwa kweli, watu wengi hawajui kuwa wana maambukizi ya Hepatitis C hadi uharibifu wa ini
Soma Zaidi...Kama una tatizo la midomo kuchubuka na kuwa myeupe ama kuwa na vidonda. Post hii inakwenda kuangalia swala hili.
Soma Zaidi...Ugonjwa wa degedege ni ugonjwa unaowapata sana watoto chini ya miaka mitano ingawa na watu wazima wanapatwa na ugonjwa huo
Soma Zaidi...Post hii inaenda kuzungumzia zaidi kuhusiana na mimba zinazoharibika . mimba huweza kuaribika au kutoka anzia miezi 3 na kuendelea .
Soma Zaidi...hali ambayo misuli unayotumia kwa hotuba ni dhaifu au unapata shida kuidhibiti mara nyingi inaonyeshwa na usemi wa kufifia au polepole ambao unaweza kuwa mgumu kuelewa. Sababu za kawaida za Ugonjwa huu ni pamoja na matatizo ya mfumo wa neva (neurolojia
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna au njia za kuepuka na Ugonjwa huu wa ngiri ambao uleta madhara kwa watoto, vijana na watu wazima, kwa hiyo ili tuweze janga hili ni lazima tufanye yafuatayo.
Soma Zaidi...Hepatitis A ni ugonjwa wa kuambukiza wa ini unaosababishwa na virusi vya Hepatitis A. Virusi ni mojawapo ya aina kadhaa za virusi vya Hepatitis vinavyosababisha kuvimba na kuathiri uwezo wa ini wako kufanya kazi.
Soma Zaidi...