picha
DALILI ZA UVIMBE KWENYE MFUKO WA UZAZI (UTERINE FIBROID)

Uvimbe kwenye mfuko wa uzazi hukua kutoka kwenye tishu laini za misuli ya uterasi. Fibroids nyingi ambazo zimekuwepo wakati wa ujauzito...

picha
DAWA YA FLUCONAZOLE KAMA DAWA YA FANGASI

Post hii inahusu zaidi dawa za fangasi na matumizi yake kwa kutumia dawa ya fluconazole kama dawa mojawapo ya fangasi.

picha
IMANI POTOFU JUU YA CHANJO.

Post hii inahusu zaidi Imani potofu juu ya chanjo kwa watoto na akina Mama, ni baadhi ya Imani waliyonayo watu...

picha
KAZI YA CHANJO YA KIFUA KIKUU

Posti hii inahusu kazi ya chanjo ya kifua kikuu kwa kitaalamu huitwa BCG. Ni chanjo ambayo uzuia kifua kikuu na...

picha
KAZI YA CHANJO YA SURUA

Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo ya Surua kwa watoto, ni Aina ya chanjo ambayo utolewa kwa watoto na...

picha
ZIJUE KAZI ZA CHANJO YA DTP AU DPT (DONDA KOO,PEPOPUNDA, NA KIFADURO))

Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo ya DTP au DPT ambayo Inazuia magonjwa ya Donda Koo, Pepopunda na kifaduro.

picha
KAZI ZA CHANJO YA POLIO

Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo za polio na kazi zake,hii ni chanjo ambayo unazuia maambukizi ya Virusi vinavyosababisha...

picha
DALILI NA ISHARA ZA MAWE KWENYE FIGO

Mawe kwenye figo yana sababu nyingi na yanaweza kuathiri sehemu yoyote ya njia yako ya mkojo kutoka kwa figo hadi...

picha
YAJUE MATATIZO YANAYOSABABISHA UGONJWA WA AKILI.

Madhara ya ugonjwa wa akili yanaweza kuwa ya muda au ya kudumu. Unaweza pia kuwa na zaidi ya ugonjwa...

picha
DALILI NA ISHARA ZA UGONJWA WA AKILI.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa akili .

picha
MSAADA KWA MGONJWA ALIYESHINDWA KUPITISHA MKOJO.

Posti hii utokea huduma ya kwanza kwa mtu aliye na shida ya kushindwa kupitisha mkojo kutoka kwenye kibofu Cha mkojo,

picha
MADHARA YA KUSHINDWA KUPITISHA MKOJO.

Posti hii inahusu zaidi madhara ya kushindwa kupitisha mkojo, ni madhara makubwa yanayotokea kwa mtu iwapo akishindwa kupitisha mkojo.

picha
DALILI ZA MTU MWENYE TATIZO LA MKOJO KUSHINDWA KUTOKA KWENYE KIBOFU CHA MKOJO

Post hii inahusu zaidi dalili za mtu Mwenye tatizo la mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo.ni dalili ambazo ujitokeza...

picha
SABABU ZA MKOJO KUSHINDWA KUTOKA KWENYE KIBOFU.

Post hii inahusu zaidi mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu na kwa kitaalamu huitwa retention of urine.

picha
YAJUE MASHAMBULIZI YA BACTERIA KWENYE NGOZI (CELLULITIS)

Mashambulizi ya bacteria kwenye Ngozi hujitokeza sehemu yenye jeraha pia huonyesha wekundu wenye upele,Uvimbe na malengelenge.

picha
CHOO KISICHOKUWA CHA KAWAIDA

Posti hii inahusu zaidi Aina ya choo kisichokuwa cha kawaida, ni dalili za choo ambacho siyo Cha kawaida, Ina maana...

picha
DALILI NA ISHARA ZA UGONJWA SUGU WAS FIGO.

 Dalili na ishara za ugonjwa sugu wa figo hukua baada ya muda ikiwa uharibifu wa figo unaendelea polepole.  Kupoteza utendakazi...

picha
MKOJO WA KAWAIDA

Posti hii inahusu zaidi mkojo wa kawaida kwa kila mwanadamu na unavyopaswakuwa, mkojo wa kawaida kwa binadamu huwa na sifa...

picha
ZIJUE DALILI ZA UPUNGUFU WA MAJI MWILINI

Posti hii inaelezea kuhusiana na upungufu wa maji mwilini

picha
NINI HUSABABISHA KIZUNGUZUNGU?

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo mbalimbali ambayo husababisha kizunguzungu.

picha
MKOJO USIO WA KAWAIDA HUWA NA VITU VIFUATAVYO.

Posti hii inahusu zaidi Aina ya mkojo usiokuwaa wa kawaida uwa na vitu vifuatavyo, ukiona dalili kama hizo wahi...

picha
IJUE RANGI YA MKOJO ISIYO YA KAWAIDA

Post hii inahusu zaidi rangi isiyo ya kawaida kwenye mkojo, kawaida mkojo huwa na rangi ya kahawia Ila ukiona rangi...

picha
KIASI CHA MKOJO KISICHOKUWA CHA KAWAIDA.

Hii posti inahusu zaidi sifa za mkojo usio wa kawaida,ukiona mkojo wa namna hii unapaswa kwenda hospitalini kwa matibabu au...

picha
MAMBO YANAYOSABABISHA KUPONA KWA VIDONDA.

Posti hii inahusu mambo yanayochangia katika kupona kwa kidonda, ni mambo ambayo yapo kwa mgonjwa mwenyewe kama ifuayavyo.

Page 183 of 230

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.