Sababu za za ugumba kwa Mwanaume
Post hii inahusu zaidi sababu za ugumba kwa Mwanaume, ni sababu ambazo umfanye mwanaume ashindwe kumpatia mwanamke mimba.
1.Ugumba ni hali ambayo utokea pale mwanamke na mwanaume wanaoishi pamoja na kujamiiana kwa kipindi Cha miezi sita au mwaka mmoja wakiwa wanajamiina pasipokutumia kondomu na mwanamke anashindwa kupata mimba, tatizo kinaweza kuwa la mwanamke au mwanaume kwa hiyo Leo tunaenda kujua sababu za ugumba kwa Mwanaume.
2. Sababu ya mojawapo ni pale mwanaume anapokuwa na kiwango kidogo Cha manii, Ili mimba kuweza kutungwa lazima mwanaume awe na uwezo wa kuwa na kiwango Cha kutosha Cha manii, Kuna wanaume ambao wanazaliana kiwango kidogo mno Cha manii hali ambayo uwafanya wanaume kushindwa kutungisha wanawake mimba.
3. Kushindwa kukomaa kwa manii.
Mara nyingine manii ya baadhi ya wanaume utolewa wakati wa kujamiiana kabla ya kukomaa, hali hii haiwezekani kubebesha mimba, wanaume wanaopatwa na changamoto kama hii ni wale ambao ujihusisha kwenye ngono mara kwa mara hali ambayo ufanya kutoa mbegu kabla ya kukomaa au wengine ni kwa sababu ya magonjwa mbalimbali ambayo utokea kwenye via vya uzazi au wengine ni kwa sababu ya kuridhi.
4. Ukosefu wa homoni za kiume za kutosha.
Hili ni tatizo ambalo ufanya wanaume kuwa na ugumba kwa sababu tunajua wazi kazi ya homoni kwa wanaume ni kutengeneza mbegu za kiume ambazo baadae mbegu hizo ndizo zinaweza kutungisha mimba, kama homoni hizo hazipo kwa kiwango kinachohitajika mimba haiwezekani kutungwa, kwa mfano wa homoni za kiume ni Testesterone homoni.
5. Unyanyasaji wa kingono.
Kuna wanaume wengine wanapata unyanyasaji wa kingono kutoka kwa wanawake zoa, hali hii usababisha mawazo mengi kwa wanaume na baadae wanashindwa kutungisha mimba.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 web hosting 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Madhara ya vidonge vya P2
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya kutumia mara kwa mara vidonge vya P2,
Soma Zaidi...Dalili za kujifungua hatua kwa hatua
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za kujifungua hatua kwa hatua
Soma Zaidi...Madhara ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu,ni madhara ambayo utokea kwa mtu anayetumia madawa ya kupunguza maumivu.
Soma Zaidi...DALILI ZA UJAUZITO KICHEFU CHEFU, KUTAPIKA, HEDHI, DAMU UKENI, KUJOJOAKOJOA N.K (mimba changa, mimba ya wiki moja, mimba ya mwezi mmoja )
DALILI KUU ZA MIMBA (UJAUZITO) Watu wengi sana wamekuwa wakilalamika kuwa mimba zao zinatoka, ama kupotea bila ya kujulikana tatizo wala bila ya kuugua.
Soma Zaidi...Sababu za kuwepo fangasi ukeni
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa Ugonjwa wa fangasi,ni sababu mbalimbali ambazo zinaweza kusababisha fangasi.
Soma Zaidi...Maji ya Amniotic
Posti hii inahusu zaidi maji ya Amniotic ni maji ambayo uzunguka mtoto na kufanya kazi mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...