Mlo kamili ni mkusanyiko kuu wa vyakula mbalimba kwa pamoja huimarisha na kuujenga  mwili wa binadamu na wanyama kwa sababu vinaleta virutubishi vyote vinavyohitajika.  Mkusanyiko wa vyakula vinavyotengeneza mlo kamili Kuna majina ya vyakula
Protini
Protini ni kundi dogo la chakula linalofanya kazi ya kuujenga mwili. Protini hufanya kazi ya kuponesha vidonda na majerah ambayo mtu ameyapata katika mwili wake.mfani nyama,samaki,maharage,mayai,senene nk
Mafuta
Mafuta ni kundi dogo la chakula linalofanya kazi ya kuipa miili yetu joto. Vyakula hivi ni muhimu kwa watu wanaokaa maeneo au sehemu yenye baridi .
Mfano wa vyakula vinavyoipa miili yetu joto ni: mafuta,karanga,na alizeti
Wanga
Wanga ni kundi dogo la chakula linalofanya kazi ya kuiipa miili yetu nguvu. Vyakula vya wanga ni muhimu kwa sababu huipa miili yetu nguvu ambayo tunaitumia katika kufanya kazi mbalimbali; mfano wa kazi hizo ni: kutengeneza vitu mbalimbali n.k. mfano ugali,kande,mihogo,viazi n.k
Vyakula hivi ni muhimu kwa watu wanaofanya kazi nzito kwani huhitaji nguvu nyingi kwa ajili ya kazi nzito.
Vitamini
Vitamini ni kundi dogo la vyakula linalofanya kazi ya kuilinda miili yetu dhidi ya magonjwa mbalimbali.vyakula vya vitamin ni Kama vile Nanasi,chungwa,karoti,papai,n.k
Kuna vitamin A, B, C, D, E, B/1, B/2 n.k.
Vyakula vyenye vitamini A huzuia ugonjwa wa upungufu wa damu mwilini (anemia) ambao ni ukosefu wa vitamini hivyo
vyakula vyenye vitamini B huzuia ugonjwa wa beriberi
vyakula vyenye vitamini C huzuia ugonjwa wa kiseyeye,
vyakula vyenye vitamini D huzuia ugonjwa wa matege
vyakula vyenye vitamini E huzuia ugojwa wa via vya Uzazi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi faida ya juice ya tende,ni juice inayotumiwa na watu wengi sana na wengine wanajua kabisa faida zake na kuna wengine hawajui wanaitumia kama mazoea tu, ila kuna ambao hawajui kabisa basi zifuatazo ni faida za juice ya tende kwa wal
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Utafahamu faida za vitamini C mwilini pamoja na kujuwa umuhimu wa vitamini C
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kisamvu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vyakula anavyopaswa kutumia mama mjamzito, mama mjamzito ni mama ambaye amebeba kiumbe ndani kwa hiyo anapaswa kutumia vyakula vyenye virutubisho mbalimbali vitakavyomsaidia mtoto kukua vizuri.
Soma Zaidi...