Posti hii inahusu zaidi msaada kwa aliye na uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo, ni huduma maalumu ambayo utolewa kwa mtu ambaye ana uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo. Zifuatazo ni huduma maalumu kwa mwenye uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.
1. Kwanza kabisa tunapaswa kupunguza maumivu kwa mgonjwa mwenye uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo. Hii ni hatua ya kwanza kabisa ambapo mgonjwa mwenye tatizo la uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo upewa dawa ya maumivu Ili kupunguza maumivu ambayo anayasikia kwa sababu mwenye uvimbe mkubwa sana na ambao umetumia mda mrefu utokwa na damu na wakati wa kukojoa mkojo uhisi maumivu makali kwa hiyo Tunapaswa kuondoa maumivu kwa mtu Mwenye tatizo hili na baadae kuendelea na matibabu mengineyo.
2. Kuhakikisha kuwa mgonjwa anakojoa sana Ili kuondoa uchafu kwenye kibofu Cha mkojo.
Kwa kumpatia mgonjwa vitu mbalimbali vya kunywa kama vile maji mengi ya kunywa juice na kila kitu ambacho uweza kuingia kama kimiminika ambacho umfanya mgonjwa aweze kukojoa sana kwa Sababu mgonjwa mwenye tatizo kwenye Cha mkojo akikojoa sana na uchafu unatolewa na huduma nyingine zinaweza kuendelea Huku akitumia dawa za maumivu na akiendekea kunywa maji. Kwa hiyo maji na yenyewe utumika kama dawa kwa ajili ya kusafisha uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo Ili kupunguza kiwango Cha maambukizi.
3. Kumpatia mgonjwa dawa ambazo zimedhibitidhwa na daktari.
Baada ya kumpatia dawa za kupunguza maumivu na mgonjwa akiwa anaendelea kunywa maji, vipimo vikimalizika mgonjwa upewa dawa zile alizoagiza daktari.
4. Kutoa Elimu ya kutosha kwa jamii kuhusu kuwepo kwa ugonjwa wa uvimbe kwenye kibofu, na kuwa as mbia watu namna ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Hawa ni fangasi ambao wanashambulia sana kwenye kucha za vidole vya mikonobna miguu.
Soma Zaidi...Postii hii inshusiana na dalili na ishara za kujikinga au kuzuia malaria kwa Njia mbalimbali.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha matatizo yanayosababisha saratani ya mapafu .
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu fangasi wa sehemu za Siri
Soma Zaidi...DALILI ZA HIV ZA MWANZO NA DALILI ZA UKIMWI ZA MWANZO Kama ilivyo magonjwa mengi hupitia hatua kadha kadha na kuonyesha dalili kadha katika hatua hizo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu magonjwa ya makende kushindwa t, hiki ni tatizo na huleta madhara
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya makunfi ya watu walio hatarini kupata UTI
Soma Zaidi...Post hii inahusu Zaidi watu walio kwenye hatari ya kupata usaha kwenye mapafu, pamoja na kuwepo Kwa sababu zinazopekekea kupata tatizo la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu ila Kuna watu wenye hali Fulani wako kwenye hatari ya kupata usaha kwenye mapafu kama
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye nephroni, uweza kutokea kwenye figo Moja au zote mbili.
Soma Zaidi...