Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni, ni njia ambazo utumiwa Ili kuepuka kusambaa kwa ugonjwa wa Homa ya inni kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine,
Namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni
1. Kwanza kabisa tunapaswa kupata chanjo ya ugonjwa huu Ili kuweza kupunguza hali ya kuenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, hasa kwa watoto wadogo chini ya miaka mitano hii chanjo utolewa Bure kwa hiyo tunapaswa kuhakikisha kuwa kila mtoto anapata chanjo ya Homa ya inni, na kwa watu wazima chanjo hii unatolewa kwenye hospitalini mbalimbali kwa hiyo ni lazima na vizuri kuipata Ili kuepuka matatizo ambayo utokea kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi ya Homa ya inni.
2. Kuepuka ngono zembe,
Hizi ni Aina za ngono ambazo ufanyika bila kutumia kondomu ambapo virus usambaa kutoka kwa mtu Mwenye maambukizi kwenda kwa mwingine ambaye Hana maambukizi na kukua na kuongezeka. Kwa hiyo inabidi kutumia kondomu wakati wa kujamiiana Ili kuzuia hali ya kusambaa kwa Virusi vya Homa ya in kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na kusababisha madhara mengine makubwa katika jamii.
3. Kuwepo kwa umakini wakati wa kumwongezea mgonjwa damu.
Kabla ya kumwongezea mgonjwa damu kwanza yule anayeitoa damu anapaswa kupima Ili kuona kama ana vimelea vya Homa ya ini kama anavyo hapaswi kumpa mgonjwa damu kwa hiyo anapaswa kupatiwa matibabu kwanza , kwa hiyo damu yoyote inapaswa kupimwa kabla ya kumwongezea mwingine damu kwa hiyo maambukizi yatapumgua kwa kifonya hivyo.
4,kuacha kutumia vitu vya ncha kali kwa mtu zaidi ya mmoja kwa Sababu maambukizi yanaweza kusambaa kwa haraka , kwa hiyo jamii inapaswa kujua madhara katika hali zote za ugonjwa wa Homa ya inni na hatari zake.kwa hiyo kila mtu ajitahudi kutumia vifaa vyake mwenye Ili kuepuka la ihoma ya ugonjwa wa ini.
5.Elimu ni muhimu kwa jamii kuhusu ugonjwa huu wa Homa ya ini kwa hiyo viongozi na wataalam wa afya wanapaswa kuhakikisha kuwa watu wote katika jamii wamepewa elimu kuhusu ugonjwa huu wa Homa ya inni kuanzia kwa kujua Dalili zake, namna unavyoenezwa, madhara yake na namna ya kuzuia ugonjwa huu, kwa kufanya hivyo natumaini ugonjwa huu itapungua katika jamii.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi dawa za kupunguza maumivu na kazi zake, ni dawa ambazo upunguza maumivu kwenye mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea njia za kujilinda na kujikinga na UTI
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tatizo la tezi koo, ni tatizo ambalo uwapata watu mbalimbali ambapo Usababisha koo kuvimba na mgonjwa huwa na maumivu mbalimbali na pengine mgonjwa upata kikohozi kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye koo.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya viungo vinavyoathiriwa na ugonjwa wa malaria
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo,ni dalili ambazo ujionesha kwa mtu akiwa na shida kwenye utumbo mdogo na tumbo la kawaida.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UTI upande wa wanawake
Soma Zaidi...Kisonono ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria wa zinaa ambao wanaweza kuwaambukiza wanaume na wanawake. Kisonono mara nyingi huathiri urethra, puru au koo. Kwa wanawake, ugonjwa wa kisonono unaweza pia kuambukiza kizazi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mtu aliyekula chakula chenye sumu, chakula chenye sumu ni chakula ambacho kikitumiwa na mtu yeyote kinaweza kuleta madhara kwenye mwili wa binadamu hata kifo.
Soma Zaidi...