Katika soo hili utakwenda kujifunza umuhmu wa kutumia PDO kwenye PHP kwa ajili ya kutumia database.
PHP PDO:
SOMO LA KWANZA
Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya PDO na faida zake.
Ni nini maana ya PDO?
PDO ni kifupisho cha maneno Php Data Object, ni extension ya PHP ambayo hutumika katika ku access aina mbalimbali za database kwa kutumia PHP. kwa kutumia PDO code hizo hizo unaweza kuzitumia kwenye database nyingine tofauti na ilivyo kwa kutumia mysqli.
Faida za PDO
Database ambazo hutumika kwenye PDO
PDO Classes:
Kuna class 3 ambazo hutumika kwenye PDO ambazo ni:-
Jinsi ya kuunganisha database:
Sasa tutaanza kujifunz ajinsi ya kuunganisha database. Hapa nitatumia njia mbili mbili. Ila kwanza tengeneza database ambayo tutakwenda kuitumia. Kama unakumbuka somo lililotangulia tulitumia database inaitwa matokeo. Hivyo ndio tunakwenda kuitumia.
Mfano:
<?php
$dbHost="localhost";
$dbName="matokeo";
$dbUser="root";
$dbPassword="";
try{
$conn= new PDO("mysql:host=$dbHost;dbname=$dbName",$dbUser,$dbPassword);
//Set the PDO error mode to exception.
$conn->setAttribute(PDO::ATTR_ERRMODE, PDO::ERRMODE_EXCEPTION);
Echo "Database imeunganishwa";
} catch(Exception $e){
 ">...
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post kwenye databse
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia filter_var() function kwa ajili ya kuchuja code zilizo hatari kwenye PHP file
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu server variables
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa kupost kwa kutumia html form
Soma Zaidi...Katika somo il utajifunza kutuma email kwa watu wengi kwa kutumia PHPMailer. Pia utajifunza jinsi ya kuweka Carbon Copy na Blind Carbon Copy
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuchakata data zaidi kw akutumia ORM kama ku join table
Soma Zaidi...Haya ni mabo ya kuzingatia unapo encode ama ku decode data za json
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutuma email kwa kutumia email() function ya PHP. Hii ni njia rahisi zaidi ya kutuma email. Ila hufanya kazi kwenye hosting.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza tabale kwenye database ya mysql .
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza database kwenye mysql database.
Soma Zaidi...