Je unahitaji kutengenezewa Android App
Bongoclass tunatoa Fursa ya kupata huduma ya kutengenezewa App
Miongoni mwa huduma ambazo utazipata Bongoclass ni pamoja na kutengenezewa App ya simu.
Unachotamiwa ni kutoa vigezo vya App Yako Kisha kututumia. Then turatathmini vigezo vyako na kukutajia gharama.
Unaweza kulipa mara Moja ama kulipa kidogo kidogo mpaka pale App Yako itakapokamilika.
Kwa mawasiliano +255675255927
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 web hosting 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Changamoto wanazokutana nazo wanafunzi wa tehama
Hizi ni baadhi ya changamoto wanazokutana nazo wanafunzi wa tehama kwenye darasa la Bongoclass
Soma Zaidi...Njia ya haraka ku download video za Youtube
Katika post hii utakwenda kujifunza hatuwa kwa hatuwa za ku download video za Youtube kwa haraka.
Soma Zaidi...Ijuwe platform ya IndexNow
Je umeshawahi kuweka post yako kwenye blog halafu ikachukuwa mpaka siku 3 kuonekana kwenye search engine kama Google, Index ama Bing. Bsi project ya IndexNow imekuja kutatuwa tatizo hilo
Soma Zaidi...Asilimia 77.2% ya website zinatumia PHP kama server side.
Kuna server side language nyingi ikiwepo java, php, python, dart na nyinginezo nyingi. Hata hivyo PHp bado inaedelea kuwa maarufu.
Soma Zaidi...Utangulizi wa mvc na umuhimu wake
Katika somo hili, tutajifunza: Maana ya MVC (Model-View-Controller) Kila kipengele (Model, View, Controller) kinachofanya Faida za kutumia MVC Tatizo la PHP ya kawaida bila MVC
Soma Zaidi...Meme ni nini
Watu wangi wnekuwa wakitumia meme, ila bila ya kujuwa nini hasa hizo meme. Na hasa Zina matumizi gani
Soma Zaidi...