Katika post hii utajifunza jinsi ya kupata taarifa muhimu za mtumiaji kw akutumia Ip address yake.
kwa kutumia IP address kuna taarifa nyingi za mtumiaji unaweza kuzipata kama vile:-
Na nyinginezo nyingi. katia somo hili tutatumia free API za iplocation.net. Kmbuka kuwa endapo mtu atatumia VPN taarifa utakazopata hazitakuwa sahihi kwani VPN inaficha IP address halisi ya mtumiaji.
Kwa kutumia hii API utaweza kupata jina la nchi kwa kutumia country_name, code ya nchi kwa kutumia&nb">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
hapa utawenda utuma database wa ajl ya utengeneza maudhu ya PDF.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye PHP na jinsi ya kuweza kuzitumia
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu cronjob na matumizi yake kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user input ili kuzuia sql injection kwenye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda Jinsi ya kutengeneza ORM inayofanya CDRUDE operation.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu http redirect header
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kujusu PHP variable, maana yake na sheria za uandishi wa variable
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza tabale kwenye database ya mysql .
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jisni ya kudhibiti error ambazo zinaweza kutokea wakati wa ku encode na ku decoe json data
Soma Zaidi...Faili la env ni moja kati ya mafaili ambayo ni muhimu kwa usalama wa project. Fili hili hutumika kuhifadhi data za siri
Soma Zaidi...