Posti hii inahusu zaidi tatizo la kushindwa kushuka kwa makende kutoka kwenye tumbo kwenda kwenye skolatumu(scrotum).
1.Kushindwa kushuka kwa makende au kwa kitaamu huitwa testis kutoka kwenye sehemu ya tumbo kwenda kwenye skolatumu (scrotum)
2. Kitendo hiki utokea pale ambapo makende ukaa ndani ya skolatumu (scrotum) lakini hushindwa kushuka kwa sababu mbalimbali kama vile
3. Magonjwa ya kuridhi kutoka kwenye familia, Kuna familia nyingine ambazo Wana ugonjwa huo kwa hiyo utakuta wavulana wote wa familia Moja wako hivyo.
4. Kutokamili kwa baadhi ya viungo vya uzazi kwa mtoto akiwa tumboni, kwa ajili ya mazingira mbalimbali wakati mwingine mtoto hushindwa kukamilika akiwa tumboni
5. Mazingira kama vile homoni ,Neva na kubadilika kwa mazingira ufanya makende kushindwa kushuka.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi makundi ambayo yapo katika hatari ya kupata ugonjwa wa ngiri, ni hatari kwa sababu tunajua kuwa ngiri utokea kwa sababu ya kuta au tishu zinazoshikilia viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwepo kwa uwazi na kufanya viun
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kushiriki ngono na mtu aliye na VVU na UKIMWI
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi adhari za ugonjwa wa Homa ya inni, hizi ni athari ambazo zinaweza kutokea ikiwa ugonjwa huu wa inni haujatibiwa, zifuatazo ni athari za ugonjwa wa inni
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu elimu ya kuhusu HIV na UKIMWI
Soma Zaidi...Polio ni ugonjwa wa virusi unaoambukiza ambao katika hali mbaya zaidi husababisha kupooza, kupumua kwa shida na wakati mwingine kifo.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kujibu swali linalosema je ni bakteria aina gani husababisha igonjwa wa pumu.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi upungufu wa damu unaosababishwa na minyoo dalili zake na namna ya kumsaidia mgonjwa mwenye tatizo hilo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye epididimisi, ni maambukizi ambayo hutokea kwenye epididimisi na kusababisha matatizo mengi.
Soma Zaidi...VIPIMO VYA MINYOO Haitoshelezi kuwa na dalili pekee ukathibitisha kuwa una minyoo.
Soma Zaidi...