Kwenye kipengele hichi tutajifunza mitazamo ya kikafiri juu ya dini.
3.MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA DINI
3.1 Mtazamo wa Kikafiri juu ya Dini.
- Kafiri Mutlaq ni yule anayekanusha moja kwa moja kinadharia na kivitendo kuwepo kwa Allah (s.w), maamrisho yake, vitabu vyake na mitume wake.
- Kwa mtazamo wa Kikafiri, neno ‘Dini’ lina maana zifuatazo;
“Belief in the existence of a supernatural ruling power…” (English Dictionary)
Umeionaje Makala hii.. ?
Kwa nini katika uislamu elimu imepewa nafasi ya kwanza ( EDK form 1 Dahana ya elimu)
Soma Zaidi...