Kwenye kipengele hiki tutajifunza elimu yenye manufaa kwenye jamii na pia tutajifunza sifa za elimu yenye manufaa.
- Elimu yenye manufaa ni ile yenye sifa zifuatazo:
1. Ni ile inayomuwezesha mwanaadamu kumtambua na kumuabudu Mola wake vilivyo na ajili ya kufikia lengo la kuumbwa kwake.
2.Ni ile inayomuwezesha mja (muumini) kuwa Khalifa (kiongozi) wa Allah (s.w) hapa Ulimwenguni.
3.Ni ile inayoiwezesha jamii kuishi kwa furaha na amani ya kweli.
4.Ni ile inayotafutwa na kufundishwa kwa ajili ya kupata radhi za Allah (s.w).
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Mtu hawi Muumini wa kweli mpaka awe na yakini juu ya Mitume wa Allah (s.
Soma Zaidi...“Basi vyote hivi mlivyopewa ni starehe ya maisha ya dunia tu, lakini kilicho kwa Mwenyezi Mungu ni bora na cha kudumu (milele).
Soma Zaidi...Kuua nafsi bila ya Haki, ni kuiua nafsi isiyo na kosa linalostahiki hukumu ya kifo.
Soma Zaidi...Si zinaa tu iliyoharamishwa bali hata yale yote yanayotengeneza mazingira na kuchochea kufanyika kwa zinaa nayo pia yameharamishwa.
Soma Zaidi...Ilhamu ni moja katika njia ambazo Allah huwasiliana na wanadamu na kuwafundisha mambo mablimbali.
Soma Zaidi...Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...