Dalili za fangasi uken
Posti hii inahusu zaidi dalili za fangasi uken, hizi ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi uken.
Dalili za fangasi ukeni
1. Kuwasha sehemu za Siri
Hii ni dalili mojawapo kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi ukeni, utokea pale ambapo wadudu wanaosababisha fangusi usababisha michubuko sehemu za Siri na pale ikitokea majimaji kugusa sehemu za maambukizi mtu uhisi kuwasha sehemu za Siri.
2. Maumivu makali wakati wa kujamiiana.
Hali hii utokea pale ambapo maambukizi yakisha enea sehemu mbalimbali za via vya uzazi maumivu makali wakati wa kujamiiana usababishwa na msuguano wakati wa kujamiiana na hivyo maumivu utokea wakati wa kujamiiana.
3.Kuhisi hali ya kuwaka moto hasa wakati wa kumaliza kujamiiana, hii hali utokea pale baada ya kujamiiana hii ni kwa sababu ya msuguano ambao utokea Kati ya sehemu ya maambukizi na uume kwa hiyo baada ya kujamiiana mtu usikia moto kuwaka kwenye sehemu za Siri.
4.Vidonda utokea ukeni.
Mtu mwenye matatizo ya fungasi ukeni huwa na matatizo ya vidonda ukeni, hali hii utokea kwa sababu ya wadudu walioshambulia sehemu za Siri usababisha kinga ya mwili kupungua na hatimaye kuenea kwa vidonda sehemu za Siri.
5. Kuvimba sehemu za Siri na rangi nyekundu utokea katika mdoma wa sehemu za Siri.
Hali hii utokea kwa sababu ya maambukizi kwenye sehemu za Siri, ambapo wadudu ushambulia kwa kiwango kikubwa kwenye sehemu ya nje ya mdomo wa uke na kubadili rangi na kuwa nyekundu hali hii uambatana na kuvimba sehemu za ukeni kwa sababu ya maambukizi.
6. Kutokwa na uchafu kwenye sehemu za Siri.
Mtu mwenye matatizo ya fangasi ukeni daima utokwa na maji maji meupe ukeni hii ni kwa sababu ya maambukizi kwenye uke pale ambapo wadudu ushambulia sehemu mbalimbali na kusababisha majimaji mazito na meupe kutokea.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 web hosting 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 ai web app 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Fahamu Ugonjwa wa Saratani ya seli nyeupe.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Saratani ambayo hutokea katika aina ya seli nyeupe ya damu inayoitwa seli ya plasma. Seli za plasma hukusaidia kupambana na maambukizo kwa kutengeneza kingamwili zinazotambua na kushambulia vijidudu. Pia husababish
Soma Zaidi...Kichaa cha mbwa.
Post hii inahusu zaidi kichaa cha mbwa,au kwa kitaalamu huitwa rabies, utokea pale mtu anapongatwa na mnyama ambaye ni jamii ya mtu au mbwa mwenyewe
Soma Zaidi...Dalili na namna ya kujizuia na malaria
Postii hii inshusiana na dalili na ishara za kujikinga au kuzuia malaria kwa Njia mbalimbali.
Soma Zaidi...Walio katika hatari ya kupata homa ya inni
Posti hii inahusu zaidi watu walio katika hatari ya kupata homa ya ini,kwa sababu ya hali zao mbalimbali wanaweza kupata ugonjwa huu.
Soma Zaidi...