JSON somo la 1: Maana ya json
Katika somo hili utakwend akujifunz amaana ya json, umuhimu wake na kazi zake.
Utangulizi wa JSON
Maana ya JSON
JSON (JavaScript Object Notation) ni format inayotumika kuhifadhi na kubadilishana data. Ni rahisi kusomwa na kuandikwa na binadamu, na pia rahisi kwa mashine kuchakata. Data katika JSON huandikwa kwa kutumia jozi za key na value.
Muundo wa JSON:
- Key ni jina linaloelezea data.
- Value ni thamani inayowakilisha data.
Mfano wa JSON Rahisi:
Maelezo ya Mfano Huu:
"jina"ni key yenye thamani"John Doe"."umri"ni key yenye thamani30."ndoa"ni key yenye thamani ya aina ya boolean (true)."watoto"ni key yenye thamani ya aina ya orodha (array) inayojumuisha...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Json somo la 3: Matumizi ya Json
Katika somo hili utakwend akujifunza baadhi ya matumizi ya Json
Soma Zaidi...Json somo la 7: Aina za database ambazo zinafuata mtindo wa json
Kuelewa aina mbalimbali za database zinazotumia au kufuata mtindo wa JSON kwa uhifadhi wa data, faida zake, na mifano ya matumizi.
Soma Zaidi...Json somo la 5: Aina za data zinazotumika kwenye json
atika somo hili utakwenda kujifunza ainza za data zinazotumika kwenye Json
Soma Zaidi...Json somo la 4: Jinsi ya ku encode na ku decode data za json
Katika somo hili utakwend akujifunz aku encode na ku decode data za json katika baadhi ya language
Soma Zaidi...Json somo la 6: Jinsi json inavyohifadhiwa kwenye database
Katika somo hili utakwend akujifunza namna ambavyo json inaweza kuhifadiwa kwenye database
Soma Zaidi...Json somo la 2: Sheria za uandishi wa Json
Katika somo hili utakwenda kujifunza sheria za uandishi wa json
Soma Zaidi...