picha
YAJUE MAZOEZI YA KEGEL

Posti inahusu zaidi mazoezi ya kegel, ni mazoezi ambayo ufanywa na watu wengi na sehemu yoyote yanaweza kufanywa kama...

picha
NJIA ZA KUONGEZA UWEZO WA KUZAA AU KUZALISHA.

Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kuongeza uwezo wa kuzaa au kuzalisha kwa sababu kuna familia nyingi zinakosa watoto...

picha
FAIDA ZA APPLE KWA MAMA MJAMZITO

Posti hii inahusu zaidi faida za apple kwa mama mjamzito, ni faida anazozipata mama akiwa mjamzito kwa sababu ya kuwepo...

picha
ZIFAHAMU FIBROIDS (UVIMBE KWENYE VIA VYA UZAZI)

Posti hii inahusu zaidi fibroids au uvimbe kwenye via vya uzazi hasa hasa utokea kwenye tumbo la uzazi ambapo kwa...

picha
NAMNA YA KUTUNZA UKE

Posti hii inahusu zaidi namna ya kutunza uke, tunajua wazi kuna magonjwa mbalimbali yanayoweza kutokea iwapo uke hautaweza kutunzwa vizuri...

picha
NJIA ZA KUONDOKANA NA FANGASI

Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kuweza kupambana na fangasi za ukeni ili kuweza kujiepusha na madhara mbalimbali kwenye...

picha
FAIDA ZA JUICE YA TENDE.

Posti hii inahusu zaidi faida ya juice ya tende,ni juice inayotumiwa na watu wengi sana na wengine wanajua kabisa faida...

picha
MADHARA YA FANGASI.

Posti hii inahusu zaidi madhara ya fangasi za ukeni kwa kawaida tunajua kubwa fangasi zikiingia kwenye uke usababisha madhara mbalimbali...

picha
SABABU ZA KUWEPO FANGASI UKENI

Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa Ugonjwa wa fangasi,ni sababu mbalimbali ambazo zinaweza kusababisha fangasi.

picha
FAHAMU KUHUSU FANGASI ZA UKENI

Posti hii inahusu zaidi fangasi za ukeni, hili ni tatizo kubwa ambalo linawakumba watoto, akina dada na wanawake kwa hiyo...

picha
HUDUMA KWA WALIO NA MATATIZO YA ASILI NYINGI MWILINI

Posti hii inahusu zaidi huduma kwa wale ambao tayari wameshakuwa na tatizo la asidi mwilini, ni njia ambazo unaweza kuzitumia...

picha
UWEPO WA ASIDI NYINGI MWILINI

Posti hii inahusu zaidi tatizo la kuwepo kwa asidi nyingi mwilini hali uwasumbua watu wengi na kufikia kiasi cha kusababisha...

picha
MADHARA YA KICHAA CHA MBWA

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtu hajatibiwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa.

picha
DALILI ZA UGONJWA WA KICHAA CHA MBWA

Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa kichaa cha mbwa ,kwa kawaida Ugonjwa huu utokea kuanzia kwenye wiki ya...

picha
KICHAA CHA MBWA.

Post hii inahusu zaidi kichaa cha mbwa,au kwa kitaalamu huitwa rabies, utokea pale mtu anapongatwa na mnyama ambaye ni jamii...

picha
SABABU ZA KUTANGULIA KWA KITOVU WAKATI MTOTO ANAZALIWA

Posti hii inahusu zaidi sababu za kutangulia kwa kitovu wakati wa mtoto anapozaliwa.

picha
KONDO LA NYUMA KUWA MBELE YA MLANGO WA KIZAZI

Posti hii inahusu zaidi sababu za kondo la nyuma kuwa mbele ya mlango wa kizazi, kwa kawaida kondo la nyuma...

picha
UMUHIMU WA KUTUMIA DAWA ZA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI

Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia dawa za kujikinga na maambukizi ya ukimwi, ni faida ambazo upatikana kwa watu...

picha
HATUA ZA KUFUATA BAADA YA KUHISI KUWA UMEAMBUKIZWA NA VIRUSI VYA HIV

Posti hii inahusu zaidi hatua za kufuata unapohisi umeambukizwa na virus vya ukimwi. Kwa sababu watu wengi wanakuwa na kiwewe...

picha
HUDUMA KWA WATU WALIODHANI WAMEPATWA NA MAAMBUKIZI.

Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo utolewa kwa watu wanaodhani wamepatwa na maambukizi ya virus vya ukimwi.

picha
WANAOPASAWA KUTUMIA PEP

PEP Ni dawa ambazo utumiwa na watu wanaojamiiana na watu wenye virus vya ukimwi ila wenyewe hawawezi kupata kwa sababu...

picha
HUDUMA KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI

Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo wagonjwa wanaoishi na maambukizi ya virus vya ukimwi wanaweza kupata, huduma hii utolewa hasa...

picha
MDA WA KUFANYA TENDO LA NDOA BAADA YA KUJIFUNGUA

Posti hii inahusu zaidi mda ambao mama anapaswa kukaa bila kufanya tendo la ndoa mara tu baada ya kujifungua.

picha
NJIA ZA JUMLA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA MBALIMBALI

Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kujikinga na magonjwa, kwa kawaida tunajua wazi kuwa magonjwa yapo na yanasambaa kutoka...

Page 155 of 229

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.