Madhara ya fangasi.

Posti hii inahusu zaidi madhara ya fangasi za ukeni kwa kawaida tunajua kubwa fangasi zikiingia kwenye uke usababisha madhara mbalimbali ambayo mengine yanaweza ya kudumu na mengine ya mda kama yametibiwa mapema.

Madhara ya fangasi za ukeni.

1. Kwanza kabisa tunajua kuwa uke huwa na bakteria wake ambao usaidia kulinda uke kwa hiyo kutokana na matumizi mbalimbali yasiyofaa bakteria hao wanaweza kufa na kusababisha kuwepo kwa fangasi basi tunapaswa kujua vitu vinavyosababisha kuondoa hao bakteria na kuzuia kuwepo kwa fangasi na fangasi wakiwa wengi usababisha matatizo yafuatayo.

 

2. Usababisha Maambukizi kwenye via vya uzazi.

Kwa kawaida via vya uzazi vikishambuliwa usababisha matatizo makubwa kwa mfano Maambukizi kwenye ovay, maambukizi kwenye mirija ya vizazi na Maambukizi kwenye ovay kwa hiyo ni lazima kutibu mapema ili kuepuka matatizo hayo yote.

 

3. Fangasi usababisha ugumba.

Kama tulivyoona hapo mwanzoni ikiwa via vya uzazi vimeshambuliwa ni rahisi kupata ugumba kwa sababu mirija ya uzazi inakuwa imeshambulia na kuzuia mayai yasiweze kutoka kwenye ovary na kurutubishwa.

 

4.  Pia mashambulizi ya fangasi yakiwa mengi bila kutibiwa na kwa mda mrefu uweza kusababisha pia magonjwa ya kansa kwa hiyo ni vizuri kutibu mapema na pia kama kuna fangasi nyingi zinaweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya kujamiiana, kwa hiyo ni vizuri kutumia kinga.

 

5. Kwa hiyo ni vizuri kutibu fangasi kwa wakati kwa sababu zinaleta madhara mengi ambayo ni pamoja na ugumba, maambukizi kwenye via vya uzazi na pia kuweza kusambaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine au kutoka kwa mwingine wakati wa kujamiiana.

 

6. Kwa hiyo kwa wale wanaojamiiana wanapaswa kutumia kinga ili kuweza kupunguza Maambukizi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na kuepuka hatari kama vile ugumba na Maambukizi kwenye via vya uzazi.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/06/03/Friday - 12:46:11 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1609


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-