Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtu hajatibiwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa.
1. Kwanza kabisa tunapaswa kujua kwamba kama Dalili za ugonjwa wa kichaa cha mbwa zimejitokeza na kabla yake hapakuwepo matibabu yoyote ambayo yameshakwisha kufanyika kuna hatari na pia madhara yafuatayo yanaweza kutokea kwa mgonjwa.
2. Joto la mwili kushuka ambapo kwa kitaalamu huitwa hypothermia,joto ushuka.
kwa sababu ya kuenea kwa virusi katika sehemu mbalimbali za mwili na pia kwa kipindi hiki ni vigumu sana kwa mgonjwa kupona kwa hiyo tiba ni muhimu tu baayys kung'atwa na mbwa.
3. Maumivu makali kwa mgonjwa inawezekana kwenye sehemu ambayo imeathirika au kwenye mwili mzima hasa kama maambukizi yamesambaa mwili mzima, na pia wadudu wakiwa wengi ushambulia sana kwenye mfumo wa kupitishia chakula hasa kwenye koo hali inayosababisha maumivu makali wakati wa kumeza.
4. Maambukizi kwenye mishipa ya moyo,kwa sababu baada ya wadudu kusambaa kwenye mwili mzima pia wanaingia kwenye mfumo wa damu na kuingia kwenye mishipa ya moyo na kusababisha Maambukizi ambayo upelekea moyo kusukuma damu kuwe kwa shida.
5. Upumuaji kuwa wa shida hasa kwa watoto na wazee.
Kwa kawaida wadudu wakisambaa kwenye sehemu mbalimbali za mwili uingia pia kwenye mfumo wa hewa na kusababisha Maambukizi hali ambayo Usababisha Mgonjwa kupumua kwa shida hasa hasa kwa watoto na wazee ndio Upata matatizo zaidi.
6. Kwa hiyo ni vizuri kabisa kuhakikisha usalama kwa watu kwa kutoa chanjo kwa mbwa wanaoishi kwenye makazi ya watu pia na kuhakikisha kupata chanjo kama umeundwa na mbwa ili kuepuka kupata madhara ya kichaa cha mbwa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kushindwa kupitisha mkojo, ni madhara makubwa yanayotokea kwa mtu iwapo akishindwa kupitisha mkojo.
Soma Zaidi...DALILI ZA HIV ZA MWANZO NA DALILI ZA UKIMWI ZA MWANZO Kama ilivyo magonjwa mengi hupitia hatua kadha kadha na kuonyesha dalili kadha katika hatua hizo.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Magonjwa yanayosababisha madhara kwenye mapafu na kitaalamu hujulikana Ugonjwa wa Acute Respiratory Distress Syndrome (ARDS) hutokea wakati Majimaji yanapojaa kwenye vifuko vidogo vya hewa nyororo (alveoli) kwenye mapafu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UTI upande wa wanawake
Soma Zaidi...Makala hii itakwenda kukupa elimu juu ya vidonda vya tumbo, nini hasa chanzo chake, vipi vinatokea ni zipi dalili zake, ni zipi njia za kujilinda dhidi ya vidonda vya tumbo. Pia tutaangalia matibabu ya kutibi vidonda vya tumbo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu Zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea Kwa mgonjwa mweye usaha kwenye mapafu.
Soma Zaidi...Utakapofanya ngono na aliyeathirika haimaanishi na wewe kuwa lazima utakuwa umeathirika. Kuathirika kuna mambo mengi lazima yafanyike.
Soma Zaidi...tambuwa chanzo na dalili za UTI na tiba yake, pamoja na njia za kupambana na UTI
Soma Zaidi...