Post hii inahusu zaidi dawa ya cardiac glycoside katika matibabu ya magonjwa ya moyo,dawa maalum ambayo imo kwenye kundi hili la cardiac glycoside ni digoxin, ni dawa muhimu ambayo utumika kwenye mfumo wa vidonge mara nyingi.
fahamu kuhusu dawa ya digoxin katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
1. Kama tulivyoona hapo juu ya kwamba dawa hii imo kwenye kundi la cardiac glycoside, dawa hizi mara nyingi usaidia pale kama damu imeshindwa kusambaa kwenye sehemu mbalimbali za mwili, ina uwezo wa kupanua mishipa na kueza kuruhusu damu inaweza kupita bila shida yeyote.
2. Pia dawa hizi inawezekana juwa na maudhi mbalimbali wakati wa kutumia ikiwemo kutapika , kichefuchefu, kuharisha hali hizi utokea kwa sababu ya kuwepo kwa sumu ya dawa hasa kwa watumiaji wa dawa kwa mda mrefu.
3. Pamoja ha maudhui hayo kuna kipindi wagonjwa au watumiaji uihisi kizunguzungu au pengine kutojielewa kwa kitaalamu huitwa hallusination, hasa hasa kwa wale watu wazima ambao umri umeenda.
4. Na kwa walio wachache wanapata shida ya maumivu ya tumbo au pengine choo kinaweza kuwa kigumu au kuharisha mara kwa mara,
5. Kwa hiyo tunapaswa kufahamu watu mbalimbali wanaweza kutumia dawa hizi ya cardiac glycoside ila wale walio na presha ya kushuka hawapaswi kabisa kutumia kwa sababu dawa hizi ushusha presha iliyo juu kwa hiyo kwa wenye pressure ya kushuka wakiitumia wanaweza kupata madhara makubwa au pengine presha inashuka kabisa na kusababisha vifo.
6. Kwa hiyo dawa hizi tunapaswa kuzitumia kwa kufuata utaratibu wa wataalamu wa afya kwa hiyo kama tulivyoona hapo mwanzoni kwamba magonjwa ya moyo utofautiana kwa hiyo na tiba Nayo ni tofauti, kwa sababu hiyo dawa hizi haitumiki kiholela bali kwa utaratibu wa wataalamu wa afya.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi dawa ya mucolytic katika kutibu kikohozi kwa watu wazima na watoto.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa hydrocortisone kwa kutuliza aleji au mzio, kwa kawaida Kuna mda mtu anapotumia dawa Fulani anakuwa na mabadiliko mbalimbali kama vile kifua kubana , viupele na mambo kama hayo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya Parental Artusnate ni dawa inayotumika kutibu ugonjwa wa malaria sugu kama tutakavyoona hapo baadaye.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dawa ya amoxline .jinsi inavyofanya kazi mwilini.pamoja na matumizi yake.
Soma Zaidi...PoPosti hii inahusu zaidi vyakula ambavyo unaweza kutumia iwapo umepata tatizo la kiungulia
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa za magonjwa ya moyo, ni dawa ambazo utumika kusaidia pale moyo kama umeshindwa kufanya kazi ipasavyo.
Soma Zaidi...Dawa za vidonda vya tumbo na tiba zake zinapatikana hapa. Soma makala hii kwa ufanisi
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya potassium sparing katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
Soma Zaidi...Makala hiii inakwenda kukueleza dawa za kutibu fangasi kwenye kucha.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ibuprofen katika kutuliza maumivu, ni aina mojawapo ya dawa na yenyewe ufanya kazi kama aspirin na paracetamol
Soma Zaidi...