Sura hii imetermka Makkah na ina aya 11. Sura hii ni moja ya sura ambazo zimeshuka mwanzoni wakati ambapo Mtume ameanza kazi ya utume.
Surat Dhuha ni sura iliyoshuka Makkah siku za mwanzoni za kulingana Ummah. Sura hii imekuja kuwa kama faraja kwa Mtume kuwa kutokana na yale yaliyokuwa yakitokea kama changamoto za kulingania dini.
Sura hii ilishuka wakati ambao wahay ulisimama. Hivyo iliposhuka sura hii Mtume s.sa. w alifurahi sana. Kwani makafiri walikuwa wakimwambia Mtume kuwa amekasirikiwa na Mola wake.
Sura hii na sifa inayofuatwa zinampa daraja Mtume na kumuimarisha katika kazi ya kukibgania dini ya Allah.
Sura hii pia imetaja baadhi ya neema ambazo Allah amrmpatia Mtume wake. Kisha okampa fundisho kuwa asimkemee wala kumkasirikia yatima ama mtu mwenye kuomba. Mwisho sura ikamtaka Mtume s.sa. w awe anahadithia neema alizopewa na Allah.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Laam al- maarifa inaweza kusomwa kwa idgham au idh-har pindibitakapokutana na herufi za shamsiya au qamariya.
Soma Zaidi...(ii)Qur-an Yenyewe Inajieleza kuwa ni Ufunuo Kutoka kwa Allah (s.
Soma Zaidi...Hukumu za kim sakina na tanwin ni idgham shafawiy, idh-har shafawiy, na Ikhfau shafawiy
Soma Zaidi...