Kuamini vitabu vya mwenyezi Mungu (s.w)

Kuamini vitabu vya mwenyezi Mungu (s.w)

Nguzo za Imani (EDK form 2: Dhana ya elimu ya uislamu)

  1. Kuamini Vitabu vya Mwenyezi Mungu (s.w).

-    Kuamini vitabu vya Allah (s.w) ni lazima kwa kila muumini wa kweli kama vilivyoainishwa katika Qur’an, ambavyo baadhi ni;

  1. Suhufi – aliyoteremshiwa Nabii Ibrahim (a.s) na Nabii Musa (a.s).
  2. Taurat – aliyoteremshiwa Nabii Musa (a.s)
  3. Zaburi – aliyoteremshiwa Nabii Daud (a.s)
  4. Injili – aliyoteremshiwa Nabii Isa (a.s) na 
  5. Qur’an – aliyoteremshiwa Nabii au Mtume Muhammad (s.a.w). 

 

-    Vitabu hivi vimeteremshwa kwa lengo la kuwaongoza wanaadamu katika njia sahihi na iliyonyooka ya maisha yao ili kufikia lengo la kuumbwa kwao.

    Rejea Qur’an (57:25) na (5:46).

 

Rejea Qur’an (6:92), (2:75), (4:14), (5:15), (5:48) na (16:64).

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Tawhid Main: Post File: Download PDF Views: 2913

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 ai web app     πŸ‘‰2 Bongolite - Game zone - Play free game     πŸ‘‰3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     πŸ‘‰4 Simulizi za Hadithi Audio     πŸ‘‰5 web hosting     πŸ‘‰6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Kuongea na Allah (s.w) nyuma ya Pazia

Hii ni njia ambayo mwanaadamu huongeleshwa moja kwa moja na Allah (s.

Soma Zaidi...
Ni ipi maana ya Imani katika Uislamu, na ni zipi sifa za muumini.

Katika Uislamu imani inanguzo kuu 6.Pia muumini anatakiwa ajipambe na sifa za waumini. Posti hii itakufundisha kuhusu imani katika Uislamu.

Soma Zaidi...