Posti hii inahusu zaidi dalili za Homa ya uti wa mgongo, ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye maambukizi kwenye uti wa mgongo.
Dalili za ugonjwa wa Homa ya uti wa mgongo.
1.Maumivu ya kichwa.
Tunajua kuwa uti wa mgongo umeenda mpaka kwenye kichwa na pengine maambukizi ujitokeza kwenye sehemu ambayo ufunika ubongo kwa hiyo maumivu ya kichwa utokea kwa sababu ya maambukizi kwenye uti wa mgongo na kwenye sehemu ya kichwa inayofunika ubongo, kwa Sababu bakteria na virusi amba usababisha ugonjwa huu ushambulia sana uti wa mgongo na sehemu ya kichwa hiyo usababisha kichwa kuuma kwa sababu ya maambukizi.
2.Mgonjwa mwenye Homa ya uti wa mgongo uhisi kizunguzungu, hii ni kwa sababu ya maambukizi kwenye kichwa ambapo bakteria na virusi ushambulia kwenye sehemu za mfumo wa ubongo na kusababisha kizunguzungu kwa mgonjwa.
3. Hamu ya kula upungua
Mtu mwenye matatizo ya Homa ya uti wa mgongo usababisha hamu ya kula kupungua kwa sababu ya maambukizi ambayo utokea kwa mgonjwa na kusababisha hamu ya kula kupungua na kusababisha mgonjwa hashindwe kula chakula
4. Degedege hasa kwa watoto
Homa ya uti wa mgongo usababisha degedege hasa kwa watoto utokea sana ukiulinganisha na watu wazima, kwa sababu ya maambukizi kwenye ubongo mawasiliano ya ubongo na misuli upungua mtu mzima au mtoto ushikwa na degedege na kusababisha madhara makubwa kwa mgonjwa na watu waliomzunguka.
5. Homa upanda.
Ugonjwa wa Homa ya uti wa mgongo usababisha Homa kupanda kuliko kawaida hii ni kwa sababu ya maambukizi kwenye mwili, Homa kupanda ni kwa sababu system za kwenye mwili zinakuwa sio sawa na hivyo kusababisha Homa kupanda.
6. Kukakama kwa shingo.
Hali hii utokea pale ambapo maambukizi yameenea na kusababisha shingo kukakamaa na kuwa fupi kuliko kawaida, hii pengine inawezekana kuwa sababu ya kukaza kwa misuli kwa sababu ya maambukizi yaliyosambaa mpaka kwenye shingo na kusababisha shingo kukukamaa au pengine ni kwa sababu ya degedege ambayo usababisha shingo kukukamaa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi njia za maambukizi ya Homa ya inni, Homa ya inni usababishwa na virusi viitwavyo Hepatitis B, huwapata watu wote hasa wale wenye umri chini ya miaka mitano.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi kichaa cha mbwa,au kwa kitaalamu huitwa rabies, utokea pale mtu anapongatwa na mnyama ambaye ni jamii ya mtu au mbwa mwenyewe
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa upungufu wa Adrenali ni ugonjwa ambao hutokea wakati mwili wako hutoa kiasi cha kutosha cha homoni fulani zinazozalishwa na tezi zako za adrenali. ugonjwa huu hutokea katika makundi yote ya umri na huathiri
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu faida za bamia mwilini
Soma Zaidi...Bila shaka umeshawahi kujiuliza kuwa je mate yanaambukiza HIV ama laa. Na kama hayaambukizi ni kwa sababu gani. Sio mate tu pia kuhusu jasho kama pia linaweza kuambukiza ukimwi ama HIV. Wapo pia wanajiuliza kuhusu mkojo kama unaweza kuambukizwa HIV. Kar
Soma Zaidi...Kama unahisi maumivu ya tumbo huwenda umejiuliza swali hili ukiwa kama mwanamke "Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?". Post hii inakwenda kujibu swali hili
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia ambazo zinaweza kutumika Ili kuweza kupunguza kuwepo kwa magonjwa ya zinaa
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za maambukizi ya sikio kwa watoto.
Soma Zaidi...Mie ni kijana wa kiume umri 33, nna tatizo la kujaa mate mdomoni nimeambiwa nna minyoo lakini hata nikinywa dawa sioni afadhali, niliona labda ni pombe nikapumzika kunywa tatizo lipo pale pale japo nisipokunywa haliwi kwa ukubwa ule ila lipo.
Soma Zaidi...Post hii inazungumzia zaidi kuhusiana na ugonjwa wa kipindupindu.kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu ambaye kwa kitaalamu anaitwa vibrio cholera.mdudu huyu hushambulia utumbo mdogo na kusababisha madhara mengi.
Soma Zaidi...