Posti hii inahusu zaidi faida ya juice ya tende,ni juice inayotumiwa na watu wengi sana na wengine wanajua kabisa faida zake na kuna wengine hawajui wanaitumia kama mazoea tu, ila kuna ambao hawajui kabisa basi zifuatazo ni faida za juice ya tende kwa wal
1. Kwanza kabisa juice ya tende usaidia kuongeza nguvu za kiume kwa sababu hili ni tatizo kubwa kwa hiyo wenye tatizo hili mnapaswa kuitumia.
2.pia usaidia usaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa, kuna wale ambao hata kwenye tendo wanakuwa hawaishi chochote kwa hiyo kwa kutumia juice ya tendo watafaidika sana.
3. Usaidia kwenye afya ya mama na mtoto, kwa kuwepo kwa virutubisho mbalimbali kwenye juice ya tende usaidia afya ya mama mjamzito na kichanga.
4. Pia juice hii usaidia sana kuondoa sumu mwilini hasa sumu za pombe kwa wale ambao wanakunywa pombe sana na kwa mda mrefu wanapaswa kutumia juisi hii.
5. Pia juice hii usaidia kukinga magonjwa hasa magonjwa ya kansa za tumbo na pia uzuia kuharisha .
6. Vilevile hii juice usaidia katika mchakato mzima wa mmeng'enyo wa chakula kwa sababu juice hii usaidia chakula kiweze kumengenywa vizuri.
7. Juice ya tende uondoa hatari ya kupata choo kigumu, ukosefu wa choo, kuwepo kwa gesi tumboni na matatizo kwenye upande wa choo.
8. Vilevile juice hii usaidia kuondoa uchovu, hasa hasa wakulima wengi vijijini wakitoka shambani mara moja utumia juice ya tende ili kuweza kuondoa uchovu wowote na kuendelea na shughuli zao za kawaida.
9. Usaidia mishipa kuweza kufanya kazi vizuri kwa hiyo kwa watumiaji wa juice ya tende wanaweza kuwa mna mzunguko mzuri wa damu kwa sababu juisi hii ufanya kazi kwenye mishipa ya damu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za biringanya/ eggplant
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu aina za vyakula vya wanga na umuhimu wake mwilini
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa maziwa
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata
Soma Zaidi...Hivi ni vyakula hatari kwa watu wenye maradhi ya moyo. Vyakula hivi si salama kwa afya ya moyo
Soma Zaidi...Hizi ni aina za vyakula ambavyo husaidia katika kuongeza damu kwa wajawazito na watoto.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya vitamini na faida zake
Soma Zaidi...