Posti hii inahusu zaidi tatizo la kuwepo kwa asidi nyingi mwilini hali uwasumbua watu wengi na kufikia kiasi cha kusababisha madhara mengine mawilini ikiwamo pamoja na kansa ya koo, ili kujua kama una wingi wa asildi mwilini unapaswa kujua dalili kama ifu
1. Dalili ya kwanza ni kupata vipele kwenye koo.
Kwa kawaida watu wenye asidi nyingi huwa na vidonda kwenye koo vidonda hivyo vinaweza kutibika na kupona lakini tatizo la asidi kama halijashughulikiwa vidonda ujirudia mara kwa mara na pia kama mtu anapata vidonda vya mara kwa mara kooni ni vizuri kuangalia tatizo la asidi mwilini.
2. Kuhisi kama kuna kitu kinababa kooni.
Kwa wakati mwingine unaweza kuona unabanwa kooni au kama kuna kitu kinakuniga jaribu kuwaona wataalamu wa afya ili kuweza kuweza kuangalia tatizo la asidi mwilini.
3. Kuhisi chakula kinarejea mdomoni.
Kuna wakati mwingine unaweza kuwa unakula na ukameza ila ukahisi labda chakula kinataka kurudi ila hauna kichefuchefu na inawezekana kabisa kuwa na Dalili za kuwepo kwa asidi mwilini.
4. Kupata kiungulia mara kwa mara.
Kuna wakati mwingine unaweza kupata kiungulia hata kama umemaliza mda mrefu,na ukatumia madawa mbalimbali na mengi bila kupata nafuu yoyote kwa hiyo unapaswa kuangalia kiwango cha asidi mwilini.
5. Kuna kipindi tumbo linajaa sana gesi na wakati mwingine linaambatana na kunguruma, hali inayosababisha pengine mtu kukosa hata hamu ya kula , kwa hiyo ni vizuri kabisa kugundua tatizo ni lipi.
6. Kuna wakati mwingine kifua kinabana sana na kuambatana na maumivu kwa mgonjwa, utakuta matibabu mengi yanakuwa katika kutibu kifua na hakuna nafuu yoyote ila tatizo unakuta ni kujaa kwa gesi kwenye mwili.
7. Tumbo kuwaka moto.
Kuna wakati mwingine tumbo linawaka moto kama mgonjwa wa vidonda vya tumbo na pengine matibabu ya vidonda vya tumbo ufanyika kwa mda mrefu bila msaada wowote ila baadae unakuta ni kuwepo kwa asidi mwilini.
8. Tunapaswa kujua kuwa tatizo hili lipi na lina dalili kama Magonjwa mengine hasa hasa kama vidonda vya tumbo na pia kifua, ikitokea matibabu yanafanyika na hakuna matokeo yoyote ya kupona ni vizuri kabisa kupima na kuangalia kama kuna kiwango kikubwa cha asidi mwilini.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi Magonjwa vya kurithi ambayo mara nyingi utokea kwenye jamii ni magonjwa ambayo yanaweza kutokea kwenye familia na wanafamilia walio wengi wakaweza kupata ugonjwa huo Magonjwa yenyewe ni kama ifuatavyo.
Soma Zaidi... Maumivu ya matiti hutokea zaidi kwa watu ambao hawajamaliza hedhi, ingawa yanaweza kutokea baada ya kukoma hedhi.ÂÂ
Soma Zaidi...Makala hii itakwenda kukueleza ni nini hasa hizi figo, na ni yapi maradhi yake na ni kwa namna ggani utaweza kujilinda na maradhi ya figo.
Soma Zaidi...Hapa utakwenda kujifunza jinsi ambavyo pumu inaweza kuwa na mahusiano kwa kuwepo kwa aina flani ya bakteria ama virusi.
Soma Zaidi...Posti inahusu zaidi madhara ya kaswende kwa mama mjamzito na mtoto, Ni ugonjwa unaopatikana hasa kwa njia ya kujamiiana na utoka kwa mwenye Ugonjwa kwenda kwa mtu ambaye hana ugonjwa, kwa hiyo tunapaswa kujua madhara ya ugonjwa huu kwa mama mjamzito na mt
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu Tina ya vidonda vya tumbo na dawa zake
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza vitu vinavyosababisha maumivu ya tumbo chini ya kitovu
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za maumivu ya jino
Soma Zaidi...