Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya Kotlin pamoja na kazi za kotlin. Pia utakwenda kujifunza kuhusu uhusiano wake na java.
MAFUNZO YA KOTLIN:
UTANGULIZI:
Kotlin ni moja katika cross-platform, statically typed general purpose programming language. Hizi ni lugha za kompyuta ambazo zinafanya kazi kwenye maeneo mbalimbali. Kwenye web app, desktop app, mobile ap, server na maeneo mengineyo ndio maana ikaitwa general purpose high level programming language. Yenyewe inaweza kutumika kwenye window, Linux, android, ios na platform nyinginezo ndio maana ikaitwa cross-platform. Pia katika kotlin utahitajika kutaja type ya identifier ndio maana ikaitwa static typed.
Toka kuanzishwa kwa kotlin mwaka 2011 imekuwa na mendeleo mazuri sana. Mpaka kufikia mwaka 2023 inakadiriwa asilimia 60 watengenezaji wa program za Android wanatumia kotlin. Ndio maana tukaona umuhimu wa course hii. Kotlin inafanya kazi kwenye java environment. Hii inawezesha kutumia kotlin ndani ya java bila wasiwasi.
Historia fupi ja kotlin.
Kotlin ni lugha ya programu ya msimbo wazi ya juu ya kiwango cha darasa iliyoundwa na JetBrains. Iliundwa mnamo 2011 na ilitolewa kwa umma mnamo 2016. Kotlin ni lugha ya msingi ya Kotlin, ambayo inamaanisha kuwa inaweza kutumika kuandika programu kwa ajili ya majukwaa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Android, iOS, na JavaScript.
Kotlin inatokana na Java, lakini inaangazia baadhi ya vipengele vipya na vilivyoboreshwa, ikiwa ni pamoja na:
Kotlin imepokelewa vyema na jamii ya programu. Imeorodheshwa kama mojawapo ya lugha za programu zinazokua kwa kasi zaidi ulimwenguni, na inazidi kutumika katika miradi mbalimbali.
Hapa kuna baadhi ya matukio muhimu katika historia ya Kotlin:
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja na method ambazo hufanya kazi kwenye set.
Soma Zaidi...Somo hili linafafanua dhana ya Encapsulation katika OOP, matumizi yake ndani ya Kotlin, pamoja na modifiers mbalimbali (private, protected, internal, public). Pia tutajifunza kwa mifano jinsi encapsulation inavyosaidia kulinda data na kudhibiti ufikivu.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu dhana ya module. Hata ivyo tutakwenda kuisoma zaidi kwenye android App
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu nadharia ya package, kazi zake, aina zake na jinsi zinavyotumika
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana na features za object oriented Programming
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.
Soma Zaidi...Katika somo hili unakwenda kujifunza kuhusu sheria na kanuni za undishi wa code za Kotlin yaani syntax za kotlin.
Soma Zaidi...Somo hili linaeleza maana ya data classes katika Kotlin, kwa nini zipo, jinsi ya kuzitumia, sifa zake, pamoja na mifano ya vitendo. Pia tutajifunza tofauti kati ya class ya kawaida na data class.
Soma Zaidi...Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Kotlin kwa ajili ya kuongeza user interaction kwenye program.
Soma Zaidi...