DALILI ZA MIMBA KUANZIA WEEK MBILI HADI MWEZI


image


Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya dalili za mimba kuanzia week mbili Hadi mwezi


Dalili za mimba changa kuanza wiki ya mbili mapak mwezi

Dalili hizi zinaweza kuendelea miezi kadhaa mpaka pale tumbo litakapoanza kuonekana. Zinaweza kuendelea mapka kukaribia kujifunguwa ama zikakata ila si zote. Dalili hizi ni kama:-

 

 

1.Kichefuchefu

2.Kutopata hedhi,

3.Kutokwa na matone ya damu ukeni

4.Maumivu ya tumbo kuongezeka

5.Maumivu ya mgongo na nyonga

6.Uchovu

7.Moyo kwenda mbio

8.Tumbo kukuwa

9.Hasira za papo kwa papo

10.Kukojoa mara kwa mara

 

Katika kipindi hiki mjamzito anatakiwa awe makini sana kuepuka kula dawa bila ya kushauriana na daktari. Anatakiwa apime vipimo vyote na achukuwe mazoezi ya hapa na pale. Awe karibu sana na watu waliokwisha beba ujauzito wapate kumfundisha baadhi ya yapasayo. Hapa mjamzito anaweza kuwa na hasira, kupenda baadhi ya vitu na kuchukia baadhi ya vitu tofauti na kawaida yake.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    2 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Dalili za mimba kuanzia week mbili Hadi mwezi
Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya dalili za mimba kuanzia week mbili Hadi mwezi Soma Zaidi...