Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya javacsript pamoja na kazi za javascript. Pia utayajuwa makampuni makubwa yanayotumia javascript.
avascript ni moja ya programming language ambazo hutumika sana katika kutengeneza web page na program nyingine. Javascript ni lugha muhinu na ya lazima kuijuwa kama unataka kutengeneza website ili na ubora. Kwenye ukurasa wa wavuti kazi kuu ya javascript ni kuweka tabia mbalimbali za ukurasa huo, kama kuweka kazi za batani pindi mtu anapobofya batani.
Sifa za mwenye kujifunza:
Ilikushiriki vyema course hii unahitajika uwe na uelewa na html. Angalau uwe umeshiriki mafunzo ya HTML leve 1 itakuwa vyema zaidi ukiwa umemaliza level 2. Course hii itaanza mwanzo mpaka mwisho, na imelenga zaidi kwa wale ambao ndio kwanza wameanza kujifunza javascript.
Maandalizi ya kifaa chako kwa ajili ya kujifunza
Javascript inafanya kazi kwenye HTML. yaani tutatumia ukurasa wa HTML ili kujifunza javascript. Hivyo hakuna maandalizi zaidi kwa level hii, maandalizi ni kama yale ambayo umeyafanya kwenye kuandaa kifaa chako ulipokuwa najifunza html.
Historia ya javascript:
Javascript imevumbuliwa na Brendan Eich mnamo mwaka 1995. Ilianzishwa kwa ajili ya Netscape 2 na baadaye ikachukuliwa na kampuni ya ECMA-262. Kutoka hapo javascript ilipitia mabadiliko mengi na matoleo mengi.
Nini javascript hufanya kwenye ukurasa wa wavuti?
Inaweza kubadili maudhui kabisa ya ukurasa wa wavuti na kuweka maudhui mapya baada ya kufanya kitendo husika.
Javascript inaweza kubadili thamani za attribute kwenye ukurasa wa wavuti (angalia html level 2 kujifunza zaidi kuhusu html attributes)
Javascript inaweza kubadili style ya ukurasa wa wavuti
Javascript inaweza kufisha ama kuonyesha element flani ya html (rejea mafunzo ya html level 2 kujifunza zaidi kuhusu html element)
Vipi javascript hutumika kwenye ukurasa wa html?
Ili kuweza kutumia javascript kwenye ukurasa wa html unatakiwa utumie tag za javascript. Tag ya javascript ni . Nadani ya tag hii ndipo hukaa code za javascript. Mfano:
Hii itakupa m">...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowKatika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kutumia javascript kutengeneza kikokotoo cha hesabu yaani calculator
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuandika variable. Hapa utajifunza sheria zinazohusu variable katika javascript
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza sheria ama syntax za kuandika javascript. Hii itakuwezesha kuelwa zaidi code za javascript.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kupangilia muonekano wa maandishi (text) wakati wa ku out put matokeo ya code
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza ku display matokeo ya code za javascript.
Soma Zaidi...Katika project hii utakwenda kufunza jinsi utakavyoweza kutengeneza keyboard ya online kwa kutumia javascript
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza baadhi ya function maaumu zinazotumika kwenye string yaani string method.
Soma Zaidi...Kwa kutumia mfano huu na iliyotangulia unaweza kuweka masharti kadiri uwezavyo. Tukutane somo linalofuata tutajifunza kuhusu switch statement.
Soma Zaidi...Hii ni game ambayo utafikiria namba, ambayo inatakiwa iwe sawa na namba ambayo game imeiweka.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu matendo ya hesabu ambayo ni kugawanya, kujumlisha, kuzidisha na kutoa
Soma Zaidi...